Recent content by Digital Ticha

  1. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Niliichukua muda mrefu sana kuomba hizi scholarships kutokana na maelezo ya uongo kama haya nilikuwa nahofia sina IELTS na sina first class naipataje scholarship. Ndio kuna vyuo ni lazima hizo vitu ila kuna vyuo vingi tu na school nyingi sana hawataki hayo mavitu. Mfano vyuo vya UK ukiingia...
  2. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Kama una huo ufaulu omba scholarship hata kama umeomba vyuo vya ndani ukipata usiache kuomba scholarship za nje utapata ukipata usaidizi wa kujqziwa vizuri, ukipata unaachana na vyuo vya Tanzania unaenda nje.
  3. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepewa admission letter chuo kimoja cha Findland. Yeah ni kweli vyuo vingine ni condition letter na condition yao ni ada tu nilipe kiasi ndio wanipe admission letter na CAS kwa vyuo vya UK
  4. D

    Niulize kuhusu fursa ya masomo Sweden

    Dah mkuu nna experience kama yako, inaumiza sana ndoto zinapozimika. Nimekosa scholarship nilipata chuo Malmo. Heaven Seeker atatusaidia labda mwakani tuboreshe wapi. Sweden is my dream country
  5. D

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Nimejaribu kuverify account yangu linkedin nimekwamia hapa. Anyone who can help me on how to enable NFC?
  6. D

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Mambo vipi mkuu, mimi ni education pro. Ni mwalimu by profession na pia nimewai fanya miradi ya elimu na kuandika Swahili articles za elimu, pia vitabu. Nina account ipo linked in nimejitahidi kufanya optimization lakini sijawai pata any contact ya mtu au shirika likiwa interested na mimi...
  7. D

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hakuna kabila hapa Africa alifanyi haya mambo. Huu ni utamaduni wetu sote hapa Tanzania.
  8. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimeomba course za English na nimepata admission sijaombwa hiyo kitu japo kuna vyuo walitaka nikavipotezea. So hiyo IELTS ni muhimu ila sio kikwazo kupata chuo.
  9. D

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Mimi sijawai fanya mtihani wa IELTS na nimepata admission zote hizo bila condition ya IELTS. Kuna vyuo kama ukionesha A level umesoma Tanzania au bachelor umesoma Tanzania hawadai cheti cha IELTS...nchi niliyoona inakomaa na IELTS ni finland
Back
Top Bottom