Recent content by Desprospero

  1. D

    Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Sio kwamba hawana wanachama wa kutosha ila huo ni ushahidi kwamba hawakubaliani na utapeli huo wa kutaka kutumia kigezo cha kumchangia Lissu kumbe ni kutakatisha fedha chafu kutoka ughaibuni. Nani anajua exactly nani kachanga kiasi gani? Chadema ni watakatishaji Waziri sana wa fedha kwa njia...
  2. D

    Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Ni wazo zuri lakini ni vizuri akiwa keshastaafu maana hapa kati huwezijua ataharibu kiasi gani maana huna gerentii ya yeye kuendelea na mema
  3. D

    Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

    Zinatengezwa na Roboti Yunisi
  4. D

    Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

    Ujinga na upuuzi mtupu. Huyo roboti anawasaidia nini kina mama vijijini.
  5. D

    Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

    Kwani walikosa mademu warembo wa mapokezi? Jinga kabisa.
  6. D

    ACT Wazalendo yasusa kushiriki Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Kwahani, Zanzibar

    Wasuse na posho za Makamu wa kwanza wa Rais
  7. D

    Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Ninayo nafasi ila siwezi kuanika mamba humu
  8. D

    Ni jambo gani Amos Makala amewahi kubuni, kutekeleza na likafanikiwa?

    Amepamdisha timu ya Pamba Mwanza kucheza Ligu Kuu Tanzania Bara.
  9. D

    Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

    Wanaojipendekeza kumpiga picha ndio wanakosea.
  10. D

    Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Mbona Wamasai wa Chalinze hawapokonywi ardhi yao?
Back
Top Bottom