Sio kwamba hawana wanachama wa kutosha ila huo ni ushahidi kwamba hawakubaliani na utapeli huo wa kutaka kutumia kigezo cha kumchangia Lissu kumbe ni kutakatisha fedha chafu kutoka ughaibuni. Nani anajua exactly nani kachanga kiasi gani? Chadema ni watakatishaji Waziri sana wa fedha kwa njia...
Siungi mkono hoja maana Mwl Nyerere alikwishalitolea ufafanuzi. Popote pale duniani nchi ndogo kwa ardhi na idadi ya watu inapoungana na nchi kubwa kijiografia na idadi ya watu nchi ndogo huwa na hofu ya kumezwa. Wakati tunaungana Zanzibar ilikuwa na watu 360,000 huku Tanganyika ikiwa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.