Recent content by Damian J Ntundagi

  1. Damian J Ntundagi

    Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Maguguma,stela star na nyingine nyingi
  2. Damian J Ntundagi

    Barabara mbovu sana kiwanda cha Namela njia ya Ulongoni

    Huyu anazungumzia barabara ya kwenda mnadani ndiko wanakochimba mchanga karibu na shule ya mikongeni
  3. Damian J Ntundagi

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    UNAWAPOTEZA WATOTO WAKO DINI NI KANSA WATAKUJA KUKULAUMU SANA KWAKUWAAMBUKIZA HUU UGONJWA KWA MAKUSUDI
  4. Damian J Ntundagi

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    kweli aisee ifakara mlimba,ifakara mahenge,mlimba malinyi,mlimba njombe,mahenge lindi,mlimba mafinga na malinyi songea ni barabara muhimu sana ila viongozi wanakomaa na kujenga vitu vya ajabu ili wapige madili
  5. Damian J Ntundagi

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    kuna mkandarasi toka mwaka juzi amepewa kazi ya kujenga madaraja imekuja mvua madaraja yote yaliyojengwa yamesombwa na maji,Hiyo barabara nikupoteza fedha za wananchi tazara inatosha
  6. Damian J Ntundagi

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Hiyo barabara ikijengwa itagharimu kiasi kikubwa sana kuna mito zaidi ya ishirini mpaka kufika mgololo bora wajenge ile ya mlimba njombe kupitia lupembe
  7. Damian J Ntundagi

    Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Mmuonye pia Mwamakula na Bagonza
  8. Damian J Ntundagi

    KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es Salaam

    UKONGA YOTE HAINA BARABARA NI MATOPE MATUPU
  9. Damian J Ntundagi

    Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Tanzania tuna mapori ya kutosha mito na maziwa nenda ukalime na wewe
  10. Damian J Ntundagi

    Kinana Acharuka na kuwasha moto, asema wanarufiji wanahitaji misaada na siyo maneno

    Tafuta kituo chochote ujiunge na masomo ya qt upate angalau cheti cha kidato cha nne utapewa ajira hata ya utendaji wa kijiji
  11. Damian J Ntundagi

    Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    mashineni hata ukitaka tani 100 unapata
  12. Damian J Ntundagi

    Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Huwezi kupata sehemu ya kununua mpunga kiurahisi tanzania labda mchele ifakara,mbeya n.k
Back
Top Bottom