Recent content by Casuist

  1. C

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Chain ya sukari imebeba watu wengi ikiwemo wasio na makosa. Bashe hawezi kuharibu maisha yao kisa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao wa kudhibiti bei. Anajigamba kabisa mwaka mmoja mashamba yote yatakufa, hamna mtu hapo..
  2. C

    Leo nimemkumbuka Nape wa 2015. Alidai CHADEMA wanataka kupeleka marehemu Ikulu na kumuacha mzima

    Nape ana kauli chafu kama vile mtu mwenye uhakika wa kesho yake haitakaa ibadilike milele
  3. C

    Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Zamani Barabara hiyo ilikuwa na lami kutokea barabara ya Pugu road Banana mpaka Kitunda, baada ya kuharibika sana na kutengeneza mashimo makubwa waliamua kuikwangua sehemu kubwa lakini zipo sehemu chache bado zina lami..
  4. C

    Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Nilizamisha mil 5 Mtwara nikajiona nimeliwa, kumbe kunao watu maumivu ni makubwa zaidi..
  5. C

    Mkurugenzi Tanesco: Jamii ielewe, sekta binafsi kuzalisha umeme sio tatizo. Adai ndio namna ya kufikia malengo

    Richmond hiyoooo around the corner.. Mbona awamu ya tano ilipambana ikaleta bwawa la Mwalimu Nyerere na kudouble capacity ya uzalishaji umeme nchini
  6. C

    Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

    Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa. Mimi ningekuwa yeye...
Back
Top Bottom