Recent content by BUSH BIN LADEN

  1. BUSH BIN LADEN

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Kweli ukimuangalia kwa umakini roboti Eunice ana akili kama za mwasibu
  2. BUSH BIN LADEN

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Mi nililala nje baada ya kushindwa kuingiza ufunguo kwenye kitasa halafu geto liko mlimani
  3. BUSH BIN LADEN

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Mwasibu kuna matusi yako huku, njoo mara moja
  4. BUSH BIN LADEN

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    Simba tunaomba mtupishe kidogo tuna kikao cha wananchi
  5. BUSH BIN LADEN

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    Mechi Yanga mdhamini Crdb. Live ya mechi kama hii Live inakuwaje nyekundu? Ni sheria?
  6. BUSH BIN LADEN

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mbabe yeyote yuko hivo kwahiyo ukiona unapakana na mbabe ni vema ukawa mpole
  7. BUSH BIN LADEN

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    Kila la heri wanangu wa Jangwani, mwananchi forever💛💚💛
  8. BUSH BIN LADEN

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna ombaomba ni majasiri sana na hawana aibu. Ukiacha kwamba anataka Patriot 2 zenye zaidi ya $3 B bado anakwambia anahitaji si chini ya F-16 100 hadi 130. Afanye tu ayajenge na Putin wamalize huu mzozo otherwise hamna wa kutekeleza haya mahitaji yake.
  9. BUSH BIN LADEN

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Sidhani kama ni kweli. Wanaotumia bidhaa za Hisense na Tronic wana ezperience tofauti na hii.
  10. BUSH BIN LADEN

    hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

    Lile tumbo haliwezi kumruhusu Kalia kuwa na akili. Wazo zuri sana
  11. BUSH BIN LADEN

    Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

    Ma designer wa baby walkers hawaishiwi vituko
  12. BUSH BIN LADEN

    Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

    Niliifananisha na haka kadude
  13. BUSH BIN LADEN

    Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

    Dingi hua mara nyingi anaingia chaka sema kwa heshima aliyonayo hapa haandamwi kama wengine. Ila kiufupi ni mtaalamu sana wa kuandika upuuzi kwa maelezo ya kuvutia.
  14. BUSH BIN LADEN

    Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Mkuu nakuhakikishia kwa namna Magufuli anavochukuliwa na raia wa kipato cha kati na chini hili halitasaidia. Japo sina uhakika kama jiwe ndo alihusika na kama kweli Lissu alikuwa anaifitini nchi kwenye mzozo na Barrick ukiweka poll ya wangapi wana support hatua zilizochukuliwa dhidi ya mfitini...
Back
Top Bottom