Recent content by Burhani Khaled

  1. Burhani Khaled

    Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

    Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
  2. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Basi hapa kuna watakao atamia na wapo wataokuwa hawaatamii.
  3. Burhani Khaled

    Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

    Sio mara zote favorite team hushinda, hutokea pia underdog team ikashinda kama ambavyo Simba SC ilishamshinda mara kadhaa Al-Ahly. Lakini ukweli unabakia palepale Morocco kama Taifa wametuzidi mbali Sana pia Raja CA na Simba SC ni mbingu na ardhi kwa Kila kitu.
  4. Burhani Khaled

    Leo nitatizama Runingani (TV) Mechi ya Simba na Azam huku nikiwa Nimenuna mno

    Quality ya Raja CA sio sawa na ya TP Mazembe kaka. Ligi ya Morocco [Botola Pro] sio sawa na Ligi ya Jamhuri ya Kidemikrasia ya Congo [Linafoot] Nawasilisha.
  5. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Shukrani Sana kaka. Nimesoma andiko moja kwamba majike huwa yanapoteza sifa ya kuatamia na kwamba hata akiatamia ana kuwa hana consistency nzuri anaweza ishia njiani kwa mfano. Vipi haijawahi tokea kwako hii?
  6. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Lengo langu hapa ni kupata kienyeji walio improved sasa nahofia huenda nikapoteza sifa yao ya kuatamia.
Back
Top Bottom