Pia ndugu mpenda haki mwenzangu tujiulize, huu mwili wa mtanzania mwenzetu unashikiliwa sehemu gani haswa ndani ya Gaza wakakati tunaambiwa Gaza yote kwa sasa ipo chini ya jeshi la Israel?
Hatuoni kwamba ni maigizo yaleyale ya serkali dhalimu ya Israel kwamba ndugu yetu Joshua mollel aliuawa na...
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.
Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.