Recent content by Bob Maxwell

  1. Bob Maxwell

    Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

    I think you need to do some more research on that subject.
  2. Bob Maxwell

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    Sasa fareed kacheza dakika ngapi, mbona wamemtoa tena aisee
  3. Bob Maxwell

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Watumiaji wengi hawana lengo la kujifunza, wengi huangalia video za kufurahisha macho tu
  4. Bob Maxwell

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Binafsi Nilicho gundua kuhusu Tik tok ni kwamba Kusogeza kwa mfululizo kunakuza muda mfupi wa umakini. Usogezaji au ku scroll mfululizo kupitia video fupi hudumisha umakini wa muda mfupi, hivyo kufanya iwe vigumu kuangazia kazi zinazohitaji umakini wa muda mrefu.
  5. Bob Maxwell

    Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

    Yani mkuu unataka kukaa mbali na mkeo kwa sababu ya maneno ya majirani.
  6. Bob Maxwell

    Malaika watakavyokuja

    Malaika wapo hapa duniani na tunapishana nao kila siku japo hatuwaoni.
  7. Bob Maxwell

    Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

    Siku hizi mahusiano ni biashara, kama huna mtaji ni vyema kukaa chonjo maana utapata hasara.
  8. Bob Maxwell

    Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokoswa maadili

    😁😁 Sawa bro, ntawasema ila siwezi kuwavunjia heshima
  9. Bob Maxwell

    Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokoswa maadili

    Kweli, unadhani ni njia zipi hasa zifanyike kuweza kutumbua jipu hili?
  10. Bob Maxwell

    Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokoswa maadili

    Mimi kama kijana wa 2000 nakubaliana na maneno yako mtoa mada, lakini sio wote walio na mienendo hiyo japo wengi wamezama katika hayo uliyo orodhesha.
  11. Bob Maxwell

    GM corn set to stop man spreading his seed

    What we eat and what we are exposed to in our environment directly affects our DNA and its expression.
  12. Bob Maxwell

    Kwanini Watu Wanaoishi Dar, Arusha na Dodoma Hujiona ni "Business Class"?

    Darasa alisema mjini daresalama kuishi ni CV
  13. Bob Maxwell

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Kweli, Lakni kumbuka aliyopo nyuma ya USA ndyo huyo huyo yupo nyuma ya BRICS. Unajuwa ni nani huyo?
  14. Bob Maxwell

    Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Kama una uhakika wa kuingiza kipato ukiwa huko basi nenda, maana hiyo 50M itaisha.
  15. Bob Maxwell

    Mwanamke atakuacha akiona mnafanana

    Huyo ni mke au girlfriend?
Back
Top Bottom