Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa.
Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya...
Hii ni changamoto inayosumbua sana, Mimi kipindi nipo kwenye mahusiaono tuliachana sababu hiihii.
Anakua anawaza kwamba marafiki zako Wanakutengenezea madem wengine
Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana.
Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede.
Lakini kipindi mchezo unaendelea nyuso za wapenda soka walioipenda young African's zilikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.