Ulikaa nae muda gani kabla hujamuoa?ulimuonyesha nin kama kishawishi cha yeye kukukubalia?,ulimpenda ukamuaproach au alijileta mwenyewe ?kiufupi hakuna ndoa rahis,be calm solve your own for yourself
Uvivu,binafs nauchukulia kama ugonjwa,hivyo unaweza kupona,hilo ndilo jaribu lako,usimrudishe kwao,kaa nae chini,muelekeze,mke ndio mtu pekee unaandikiwa kuwa nae mpaka kufa,let you move together...sikupi pole kwa sabab yapo makubwa zaidi ya hayo kwenye ndoa lakin hawachukui maamzi hayo,it's too...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.