Recent content by Black Codes Cracker

  1. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Halafu hakuna kigezo cha JAKATA wala nini…Hadi RAIA wanajimwaga tu 🙌🏾🙌🏾
  2. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wazee wa aziwea ndo hawa…alafu unawezakuta wanafanya hivyo mabonye tu, kuja kushtuka bogi lipo Kihangaiko linaapa.. Halafu hilo la mwezi wa saba, likawa la oljoro 😀
  3. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duuh, tunaweza kushangaa ikapigwa aziwea ya hatari…😀
  4. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wakuu, yani hata lonja hakuna…!? Mwezi wa nne mbona unaenda kukatika 😀
  5. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kila mwaka kozi zinapigwa, na kila mwaka watu wanavaa bakabaka… Ila mwenye connection ndo anajua kuwa kuna kozi inaendelea…kama huna, unaweza stukia watu wanaanapa tu 😀
  6. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    huyo alokwambia kapanga kukubwaga tu… Wanachukuliwa hadi wasieonda Jax, itakuwa wewe mujibu..!? 😀 Tafuta hela, alafu tafuta connection uone kama mpaka mwakani haujavaa bakabaka…. 😀
  7. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Waziachie tu, kila mtu ajue la kufanya… Tufungue mioyo, au tushapigwa aziwea, tuendelee kulima tu
  8. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wenye vigezo ni wengi, na nafasi ni chache…Hivyo basi, connection muhimu… Ukweli mchungu huu 😀
  9. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mi’ ukuruti wa jax kitambo sana nshatoboaga 😀
  10. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Haifi, ila idadi itapungua… Kwa maana JW pekee, ndiyo itakayohitaji vijana kutoka JAX
  11. Black Codes Cracker

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ile ishu ya Bunge kupinga kigezo cha JKT kwenye ajira…
Back
Top Bottom