Habari za majukumu wakuu,
Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
Habari za majukumu wakuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu toka mwanza, musoma au bukoba na gunia ilo lina kg ngapi. Biashara hii nataka kuifanya iringa hivyo naomba kujua na gharama za usafirishaji
Habari wakuu naomba mwenye kujua anisaidie kuwa ni wapi naweza kupata covid 19 certificate? Sababu nataka kwenda nje ya nchi nahofia kupata usumbufu boader
Ndugu nenda uhamiaji karibu na wewe, utajaza fomu online ya maombi ya passport,barua toka serikali ya mtaa au kutoka kwa mwajiriwa wako,Cheti cha kuzaliwa, cheti cha ndoa Kama umeoa, cheti cha kuzaliwa mzazi au hati ya Kiapo Kama Hana cheti cha kuzaliwa, temporary passport tshs 50000 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.