Recent content by Belo

  1. Belo

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Confirmed,aliyepona ni mpiga picha tu wengine wote wamefariki
  2. Belo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe Dunia tunapita
  3. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ETH ni mkubwa kuliko Pep
  4. Belo

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Tuelezee zaidi kuhusu hiyo Premium
  5. Belo

    Benki ipi ina riba nafuu kwa mkopo wa watumishi?

    Post yangu ni ya 2016 imepita karibia miaka 8 sidhani kama bado ni valid kwa sasa.Nafikiri mwajiri anakuruhusu kutumia bank yeyote
  6. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mashabiki walim-hype sana ETH baada ya decision zake kuwaondoa CR7 & DDG but ukweli hii team sio size yake
  7. Belo

    Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    AY & MwanaFa walilipwa na Tigo ,almost billion 3 kwa Tigo kutumia ringtone ya muziki wao,Kama Mwakinyo alivunja mkataba na waliomshitaki wana mawakili wa uhakika watapata hela ya kutosha
  8. Belo

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Sijaona nyimbo yeyote toka kwenye Album yake alitoa mwaka jana inaitwa Dynastie 1 ya mwaka jana sikiliza hizi nyimbo then urudi utoe tathmini yako again
  9. Belo

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Nimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
  10. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ingekuwa enzi za SAF Evan Ferguson angekuwa mchezaji wa Manchester United
  11. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Manchester United + ETH walitaka kumrudisha Greenwood but kulikuwa na pressure kubwa kuanzia kwa sponsors, wanasiasa,football pundit ,member wa timu ya wanawake na baadhi ya staff wa klabu walitishia kuandamana/kuacha kazi
Back
Top Bottom