Recent content by Beberu

  1. Beberu

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Mwenyewe nimeshangaa, mana ndani ya hio week kama sharp anakuwa kasoma mchezo wote, kiasi anaweza kucopy chap akakulaza na viatu 😂😂 jamaa anataka kuiba idea kirahisi sanaa Halafu kama naweza tengeneza 1M kwa week siwez kuwa na shida ya mtaji wa 5M,
  2. Beberu

    Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Sasa mkuu, unataka sisi tufanye kila kitu, ? Anyway, weka coz za mapishi, ada iwe buku hadi buku 10 kwa mwezi, wadada wengi na bachelors watajiunga, Weka coz za nguvu za kiume, bei 10-20k kwa mwezi (zungumzia misosi na vyakula) Weka coz za biashara, bei 5-25k Coz za computer, bei 50-100k...
  3. Beberu

    Akamatwa akiwa na milioni 29 Gest

    Yan huyu hata angekuwa serena wangemchomoa
  4. Beberu

    House4Sale Ghorofa linauzwa Mtoni Kijichi, Dar

    Mkuu 600M ? Kwa ghorofa lipi ?
  5. Beberu

    Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Mkuu, hio kawaida, kila eneo na standards zake, usilie kabisa, Kama huwez hio bei kunywa kinywaji kingine, Hata soda zina bei elekezi ila tunajua kuna mahali zinauzwa 700 kwingine 2000
  6. Beberu

    Barabara ya lami Kimara Bonyokwa inaanza lini watu wamevunjiwa majumba yao mkasema Aprili sasa Mei

    Mkuu, una hoja nzuri, ila unaweza andika kwa herufi ndogo tafadhali? Upande wa hoja na mm nataka viongozi watoke mbele waseme lin itaanza jengwa ? Ni muhimu mjini hapa kuwa na lami tupu
  7. Beberu

    Tuwaache abiria wa daladala washuke kabla ya sisi kupanda

    Mabadiliko hayaji mara moja, huanza taratibu na kusambaa, Ukianza wew na mm kubadilika, na familia zetu, tutawaambukiza na wengine ustaarabu, ndani ya mwaka utakuta utamaduni ni mpya
  8. Beberu

    Kuwekeza fedha

    Hapo tafuta biashara serious ufanye, Ila kupitia uwekezaji wa bank na hizo acc, tegemea 10% annual return, ukijitahidi sana 15% annual ambayo ni sawa na 1% per month
  9. Beberu

    Tunaomba Serikali iingilie mgogoro uliopo katika shirika la Living waters ministries -Ilemela Mwanza

    Nani mwanzilishi wa Taasisi hio? Nani ni MD wa hio taasisi?
  10. Beberu

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Hardware mtaji inabidi uwe ngapi hiv ili afanye vema
  11. Beberu

    Je, kufungua nchi ndio kuifanya dampo?

    Sera ya viwanda imeuliwaje? Yan nn kinakufanya useme hivyo
  12. Beberu

    Je, kufungua nchi ndio kuifanya dampo?

    Sera ya viwanda imeuliwaje? Yan nn kinakufanya useme hivyo
  13. Beberu

    Je, kufungua nchi ndio kuifanya dampo?

    Mzee, ukipenda ua penda na Boga lake, Huwez chagua vya kuingizwa nchini mwako, kwa maana unatoa vyote pia, Focus iwe kuweka uzalishaji wa ndani imara, sio kuzuia vya nje, wew hakikisha dar mayai yapo ya kutosha toka hapo pwani, Hakuna ataeleta mayai ya Malawi, Hizi habari za kulindana kwa...
Back
Top Bottom