Recent content by bagamoyo

  1. B

    Wakimbizi wa Syria waanza kuondoka Lebanon baada ya chuki dhidi yao kuzidi

    Kweli kabisa HISTORIA Siku Ya Kiza ya Mwezi septemba (Black September), pia inajulikana kama siku ya Vita vya Raia wa Jordan dhidi ya Wakimbizi wa Kipalestina waliokaribishwa Jordan, vita hiyo ya wenyeji dhidi ya wakuja ilikuwa ya silaha na iliyoongozwa na Mfalme Hussein dhidi ya Chama cha...
  2. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Demokrasia na Maendeleo ndiyo mapacha wawili wa kutia chachu uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja kukua kwa kasi ya G5
  3. B

    Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  4. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Hakika demokrasia ya Tanzania ilipitia mtihani mkubwa mithili ya kivuli cha umauti https://m.youtube.com/watch?v=hKKvE5oFWGs
  5. B

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Naunga mkono hoja gari hili liwekwe makumbusho ya taifa ili tusirudi leo katika siasa za kigandamizi za 2015 - 2021, ukumbusho huu utasaidia waovu wasirudi tena ktk siasa za Tanzania
  6. B

    TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

    Taifa limepoteza mzalendo aliyethubutu kuwa na viwanda wakati wa ujamaa hadi baba wa taifa akakubali kuwa kuna mchango wa watu binafsi ndani ya siasa ya ujamaa na kujitegemea ni kiwanda hiki kilionesha kwa vitendo dhima halisi ya nchi kujitegemea kwa kuamini mtanzania mmoja mmoja anaweza...
  7. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Inabidi sasa kizazi chetu tushike hatamu kujinasua na chama dola kongwe hadaa
  8. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    MABALOZI PIA WASOMI KUTOKA KENYA, SOUTH AFRICA N.K WANAJADILIANA KATIKA JUKWAA YA DEMOKRASI 2024 ZANZIBAR UZOEFU WA KUUNDA KATIBA MPYA TOKA MAZINGIRA TOFAUTI https://m.youtube.com/watch?v=VxR5Lbt__cI Mmoja akiongea katika jukwaa la Tanzania na Demokrasia 2024 mjini Zanzibar, ni mhanga wa...
  9. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Mdau atoa neno zito https://m.youtube.com/watch?v=Eq9pbKIjIwU
  10. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne tunduizi kuchambua hali ya kisiasa iliyopo Wadau walioshiriki Jukwaa la Demokrasia Tanzania...
  11. B

    The Cuban Banking system has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media that all their money is gone from their accounts

    -Je, ni nini nyuma ya ziara ya rais Miguel Díaz-Canel wa Cuba nchini Urusi? -Ripoti kutoka kwa maabara ya mawazo tunduizu ya "Cuba katika karne 21 (Cuba 21st Century) inasema kwamba hali ya Cuba iko karibu na ile ya Haiti: nchi iliyo nyuma sana katika Ulimwengu wa Magharibi; Pia anachambua jinsi...
  12. B

    Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    Hotuba ya mheshimiwa rais Dr. William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya wakati wa ziara ya kiserikali ya rais Museveni nchini Kenya, https://m.youtube.com/watch?v=AWHamXN0pLs Rais William Ruto alisema Kikao cha 2 cha Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri(JMC) kilichofanyika kuanzia Mei 12 hadi 14 2024...
  13. B

    Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    16 MAY 2024 Nairobi, Kenya MASHIRIKIANO BAINA YA NCHI JIRANI KATIKA BIASHARA KUNYANYUA CHUMI ZA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI Ziara ya kiserikali ya rais Yoweri Kaguta Museveni nchini Kenya https://m.youtube.com/watch?v=Yd4uxaaJkX0 Baada ya nchi za kiafrika kupata uhuru takribani miaka 60...
  14. B

    Huenda Kamati kuu hii ya CHADEMA ikawa ndio mwanzo wa mwisho wa nguvu za Freeman Mbowe au Mwanzo wa Vita mpya ya wazi kati yake na Tundu Lissu

    CHADEMA ni chama huru kuweka fikra zako mezani zikajadiliwa na kisha kukubaliana kutofautiana muafaka ukakubalika. Tofauti na chama kongwe dola ambacho hadi fomu ni moja tu inatolewa kwa kuogopa hoja kizani zikajadiliwa na kukubaliana kutofautiana kisha chama kinakaendelea baada ya muafaka.
Back
Top Bottom