Search results

  1. B

    Kaka wa Lissu aelezea masikitiko yao juu ya haki ya mdogo wake, adai watapambana hadi haki ipatikane

    Kijijini Mahambe, Singida MSTAHIKI MEYA WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA, DADA YAKE TUNDU LISSU ANENA MAZITO https://m.youtube.com/watch?v=RQAregzv2iE
  2. B

    Kaka wa Lissu aelezea masikitiko yao juu ya haki ya mdogo wake, adai watapambana hadi haki ipatikane

    Msubiri majibu yenu, ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi
  3. B

    Kaka wa Lissu aelezea masikitiko yao juu ya haki ya mdogo wake, adai watapambana hadi haki ipatikane

    20 May 2024 Ikungi, Singida Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8 Msemaji wa familia ya ukoo na pia kaka wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu, advocate Bw Alute...
  4. B

    Dkt. Kigwangalla: Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, alimfukuza Zitto na sasa anamfanyia figisu Lissu. Tumwite Ayatollah Mbowe au Kabaka Mbowe

    Fomu moja ndani ya chama dola kongwe inamletea mawazo, wakati ndoto yake ni kuwa rais kupitia CCM
  5. B

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Hii ni game ya kikubwa, Iran wamefyata mkia kuona kumbe walikuwa wanacheza michezo ya hatari wanasingizia hali mbaya ya hewa. Wakubwa wameuchuna kiimya kama siyo wao. TOKA MAKTABA: Hutasikia Mossad kitengo cha ujasusi wa nje, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence (MI) au Shin...
  6. B

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Hutasikia Mossad kitengo cha ujasusi wa nje, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence (MI) au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa katika msafara wa Rais Raisi wa Iran. Hata wachokozwe vipi si Benjamin...
  7. B

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri...
  8. B

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Modus operandi / Operesheni za Usalama wa Taifa ndani na nje Spymaster wa intelejensia India anaelezea majasusi makini hawashangilii wanapofanikiwa ktk operasheni bali hunyamaza na kujifanya hawajui lolote hata wakinyooshewa vidole kamwe hawazungumzi wala kujibu kwa neno hata moja pia hata...
  9. B

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Wataalamu wameshafanya yao, haiwezekani ukaishambulia Israel kukaponyoka. Na kawaida vyombo vyote vikubwa idara ya usalama wa taifa kurugenzi ya ndani na kurugenzi ya mambo ya nje huwa hawakubali wala kukataa kama wao wanahusika. Nia ni kuwaweka adui katika sintofahamu kwani vyombo hivyo vya...
  10. B

    ZANZIBAR: Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kukutana kwa dharula Leo

    Mwenyekiti hakubaliani na pessure ya chawa akubali fomu moja, ataka kuonesha demokrasia na ushindani. Tujikumbushe kuelekea uchaguzi ambapo Nchimbi na wanachama wenzake wa CCM walitoa kutokubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM TOKA MAKTABA : 2015 11 Julai Mvurugano CCM 2015, KANUNI Dk...
  11. B

    ZANZIBAR: Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kukutana kwa dharula Leo

    Kamati kuu ya chama dola kongwe kujadili hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini Tanzania na kusoma thathimini ya ripoti nzito ya kitengo cha intelejesia ya siasa iliyopo chini ya Katibu wa NEC na Uhusiano wa Kimataifa ofisi ndogo ya makao makuu CCM mtaa wa Lumumba Dar es Salaam. Ripoti hiyo...
  12. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    WANANCHI WILAYA YA MANYONI WAZUIA MSAFARA WA TUNDU LISSU KUSHUHUDIA GARI ALILOPIGWA NALO RISASI https://m.youtube.com/watch?v=kZRptrmns_U
  13. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    18 May 2024 Ikungu, Singida Tanzania TUNDU LISSU APOKELEWA JIMBONI KWAKE KWA KISHINDO, WATU WAMSUBIRI MPAKA USIKU https://m.youtube.com/watch?v=jIYP_sl7lt0 Tundu Lissu akisimulia jinsi risasi zilipotoboa gari na kujeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana TOKA MAKTABA: Majeraha makubwa na...
  14. B

    Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB jamíi bond yaanza kuuzwa London stock Exchange , UK

    Exclusive interview in London with Innocent Yonazi, Head of Investor Relations at NMB Bank PLC and Global Banking And Finance Review https://m.youtube.com/watch?v=cNg-BlAUZyY
  15. B

    ZANZIBAR: Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kukutana kwa dharula Leo

    Ajenda: Kujaribu kuipiku kamati kuu ya CHADEMA inayofuatiliwa sana na wananchi, na ukweli sasa maandamano na madai ya CHADEMA kuhusu katiba mpya, uchaguzi huru wa haki, kilio cha hali ngumu ya maisha ndiyo mambo wananchi wanayo mioyoni mwao huku madai hayo yamebebwa na CHADEMA kuliko chama...
  16. B

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Uungwana ni Vitendo. Kazi kwao TRA, POSTA na TCRA washirikiane kimfumo kuhakiksha zoezi la kusambaza barua kwa njia ya posta hadi katika anuani zote za makazi / majengo Mfumo wa Anwani za Makazi ni Muhimu Katika Kukuza Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi, Tanzania. 06th Apr, 2022 Mfumo wa...
  17. B

    Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB jamíi bond yaanza kuuzwa London stock Exchange , UK

    NMB BANK PLC INTRODUCES THE JAMII SUSTAINABILITY BOND: DRIVING IMPACTFUL INVESTMENT FOR A SUSTAINABLE FUTURE Posted: 13 May 2024 NMB Bank Plc - Tanzania's leading commercial bank offering financial services to diverse clients ranging from individuals to large corporates. Today, through its...
  18. B

    Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB jamíi bond yaanza kuuzwa London stock Exchange , UK

    Hatifungani BENKI YA NMB PLC YATAMBULISHA BONDI ENDELEVU YA JAMII : KUELEKEZA UWEKEZAJI WENYE MGUSO KWA AJILI YA KESHO ENDELEVU. Iliyotumwa: 13 Mei 2024 Shiriki Benki ya NMB Plc - Benki inayoongoza Tanzania kutoa huduma za kifedha kwa wateja mbalimbali kuanzia watu binafsi hadi makampuni...
  19. B

    Oleksandr Usyk amtwanga Tyson Fury na kuwa Undisputed Heavyweight Champion...

    Bondia: Oleksandr Usyk Kuzaliwa : 17 January 1987 (age 37 years), Simferopol Ukraine Uzito : 100 kg Urefu : meter 1.91 m = Futi 6' na inchi 3
Back
Top Bottom