Acha tu mkuu..na huwezi amini toka ile Jumatatu kafanya tukio mpaka leo hajanitafuta kwa simu wala sms na mimi nishahama pale.Akienda hatoamini macho yake
Mpaka sasa tayari nimeshahamisha vitu vyote ndani na leo leo mpangaji mwingine kapatikana..Hivyo akienda pale (maana funguo anayo atajaribu kufungua anione)atakutana na mpangaji mpya ndipo akili itaanza kurudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.