Recent content by BabuMkubwa

  1. B

    Principal Engineer II (Resident Engineer) at TANROADS

    PRINCIPAL ENGINEER I labda awe mstaafu.
  2. B

    DOKEZO Wauzaji wa nyama Mbezi Beach kuna michezo wanafanya kwenye mizani

    Hiyo bei yao ni kwa Gramu 800 siyo Kilogramu 1 ndiyo maana ipo chini.
  3. B

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Alikubagua kwa sababu aligundua kuwa yeye ni baba mlezi wako siyo baba yako mzazi,,Halafu na wewe umedhihirisha angekuwa baba yako mzazi usingemwiita mbwa yule.
  4. B

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Wewe ulikula kichwa cha kondoo ndiyo chenye wadudu wawili
  5. B

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Mama alivyo makini ,mpenda haki,mwenye huruma na mcha Mungu hili atalishughulikia kwa ipasavyo kama ni la kweli.
  6. B

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Sisi tayari wale wa pointi 69 endeleeni kuhesabu mtajijua wenyewe.
  7. B

    Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Mtibwa akiendelea kujifanya anajua sana kushambulia anapigwa 5G afadhali azuie apunguze idadi
  8. B

    Yanga inahitaji ushindi ili kubeba ubingwa kesho, point 1 ni sheria ya zamani.

    Nyie watu wakati mnapiga hesabu za pointi 69 kwa Azam na Simba, Yanga ipigieni pointi 80
  9. B

    Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Wale wachezaji watatu wanaonekana off side hawakuhusika kwenye ufungaji wa goli
  10. B

    Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Muamini mwenzio anachokuambia acha mawazo potofu.
Back
Top Bottom