Hao wengi ni waganga wa kienyeji wenye kujificha kwenye suti. Agenda yao ni moja tu kuiba,kuchinja na kuangamiza kama afanyavyo Baba yao ibilisi tangu zamani. Hawana kukemea dhambi, toba ya msalaba wala emphasize ya maisha matakatifu kwa uzima wa milele. Watakokota wengi kuzimu, kama watu...
Dah, usifanye hivi mkuu. Huwezi jua dada wa watu alipatwa na nini, ila ujue tu hao unao wadharau (single mother) wanakuwaga wamama bora kabisa kama alivyokuwa my late mom.
Wewe tayari ushakuwa initiated kwenye cult ya huyo mganga jiandae kuwa mbuzi wa kafara. Eti asimchafue dady what a nonsense. Huyo Kuhani Musa ni occultic grandmaster sawa na Baba yake wa kiroho aliyejiita mzee wa Yesu.
Huu mstari ndio fimbo yao ya kuchapia maamuma wa kiroho 😂😁😀😀😂😁😀. Huo mstari unajua maana yake, au copy copy?My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 '6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.