Facebook
https://m.facebook.com › posts › jul...
Julius Malema ex-housemaid shows... - African celebrity news
11 Feb 2024 — Julius Malema ex-housemaid shows off her child who looks exactly like him❤ Julius Malema ex-housemaid shows off her child who looks - style you 7.
Mimi naona shida ni serikali yenyewe na sio mamlaka husika, na hizo mamlakaa Husika huundwa na serikali na kuwekwa viongozi wabovu au kutopewa mitaji ili watu Fulani waweze kuweka biashara zao. Na kingine ni mikataba mibovu ambayo nayo huwekwa na Sirikali
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/a-load-of-inconvenience-as-lorry-operators-hijack-service-roads--4621328
A load of inconvenience as lorry operators hijack service roads
May 12, 2024
Sunday, May 12, 2024...
Siku hizi kumezuka Tabia za ma lorry Makubwa Kwa magari kuegeshwa Pembe zoni mwa barabara au kwenye njia za waendao Kwa miguu , hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na Kwa madhumuni hayo. Na pia zina kiuka Haki za watumiaji wengine WA sehemu hizo, iwe...
Mosi ina msafisha muhusika toka Yale aluofanya ambayo ni hasi kuwa ni chanya.
Pili nini uzuri wake kiuchumi tofauti na zile bajeti zisizo na hiyo code.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.