Recent content by mockers

  1. M

    Kazi ya kuajiriwa haiwezi kukufanya uwe tajiri

    Modes badilisheni ni kazi ya kuajiriwa
  2. M

    Kazi ya kuajiriwa haiwezi kukufanya uwe tajiri

    Wakuu, Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi. Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri. Jamaa anaingia saa 12 alfajiri kazini anatoka saa 11 jinoni lakini tumekutana analia shida. Sisi...
  3. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    mkuu kwani kuna matata nikimtafuta?
  4. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Ndio mkuu ana mawazo mazuri sana
  5. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    mkuu uko vizuri , bahati mbaya utakuta wanawake kama ninyi hamna hata ndoa
  6. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Ulibahatika mkuu mwanamke mwenye tamaa hafai anaishia kua Malaya anayepitiwa na kila kidume baadae wanakuja kukumbuka wako 45+ hakuna anayemtaka tena, hivo huyo komaa nae
  7. M

    Sex is Gateway to your soul kuwa makini

    Hilo halina uhalisia wowote
  8. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Hahaahaa mkuu wewe ndio unafaa Una uzoefu mkubwa hata ukipigwa mazonge
  9. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Kidogo ulipata asie na tamaa na mvumilivu , hasa uanze kumzingua baada ya mambo kukaa sawa
  10. M

    Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Alilizwa akawa kama kachanganyikiwa nao hukutana na masahibu ujue,
  11. M

    Mimi superbug sifa zangu ni hizi

    Mpwa Leo kafunguka
  12. M

    Baba Levo: Wanawake asilimia kubwa wanapenda hela na wanahongeka, inategemea mwanaume umefika kiasi gani

    Afadhali uwe unanunua kuliko kujivika majukumu kwa Malaya ambaye anajifanya mtakatifu
Back
Top Bottom