Kuna sehemu Mkoa wa mbeya inaitwa Lupa tingatinga then unaingia ndani ndani huko kunaitwa Nkunungu aisee nliona watoto wa shule ya msingi shati Lina rangi ya udongo hata ufulie jiq haliwezi takata! Umasikini ni mkubwa sana vijijini, Bado watu hutumia mitishamba kwa kiasi kikubwa! Nlikuwa nna...
Mada nzuri sana na fikirishi....Kuna article nliisoma sehem inasema hata Ellon Musk ni allien...kwangu it's just a rumour ila nlitaka kujua zaidi kama Kuna mdau kaweza kuchimba deep hili suala!! Ninasoma
Achana na mafuta, mbona kwetu Kuna gesi kama Algeria lakini kwetu Bei ya gesi ni juu zaidi mara 4 ya Algeria....!!!
Kuna tatizo kubwa sana na hii ngozi nyeusi
Wabongo kwa ujuaji eti unaumia kabisa wakati jamaa ni professional personal bodyguard na amelipwa pesa nyingi kwa kazi hiyo.....
Aache kazi utamsaidia wew kulisha familia?
Kuna watu weusi wengi tu all over Europe na America wanahudumia ndugu zao Africa jus kwa kufanya kazi za ndani kwa watu...
Naomba nimrekebishe muandishi wa andiko moja aliyetangulia kwa kutoa maelezo ya ndoa ya mseto...
Katika kanisa katoliki hakuna ndoa ya mseto baina ya mkatoliki na muislam...HAIPO!
Ndoa ya mseto ni kwaajili ya madhehebu ya ukristo ambayo imani inashabihiana!
Halafu kanisa katoliki lina waamini...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kusingekuwa na vitisho kila mtu angeishi kivyake! Kungekuwa n free will na hakuna moto wengine wangemchagua kaka shetani
Umeandika maandishi mengi ila hakuna hoja ya msingi zaidi unataka kutuonesha kuwa Diamond alistahili zaidi kuliko burna boy with no relevance!
Onesha ni kiasi gani Diamond kamzidi vigezo Burnaboy na wizkid na sio kuongelea mafanikio ya burnaboy!
Mtu anaimba nyimbo za kuhusu jamii na bado...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya anakosa gani labda? Kamteka nani? Kamkata mapema nani? Kamdhulumu nani au kanyanganya nini kwa watu?....damu ya nani inamlilia? Jamaa ni anafurahisha tu wala hana madhara....mimi nipo mbeya na sioni shida yake
Mkuu Sugu ni level nyingine sio mwenzetu...harakati kazifanya mno hawezi kutafuta attentio this time! Ni ukweli usiopingika biashara nyingi zilikuwa zinahama, watu wanatafuta sehemu salama kwa uwekezaji...sio sehemu mtu anasema matajiri wataishi kama mashetani, sio sehemu watu watakubambikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.