Sawa [emoji1][emoji1]
Nimegundua nabishana na masikini wengi sana humu wenye husuda na wivu, badala ya kuomba michongo ya kupata pesa na wenyewe wakue, wao wanashindana na sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni madogo 2 tu so far ambao wamejua kwamba watu kama sisi tunaweza kuwa msaada...
Nimenunua gari langu la kwanza nikiwa na miaka 24, tena sio ilimradi gari, ni HYUNDAI COUPE SPORTS CAR, gari ilikuwa imetunzwa vizuri sana, kama mnavyojua tena wamama na utunzaji wa magari.
Ilikuwa ndio kwanzaa imetoka UK, aliyeniuzia alikuwa mama mmoja mtu mzima ambaye alibadilisha makazi...
Hiyo ni mojawapo ya vyanzo vyangu mkuu, tena pesa iliyoko kwenye simu kwa ajili ya dharura ndogondogo.
Nina akaunti nyingine EXIM, NMB na EQUITY.
Sasa you can imagine, nikuunganisha vyanzo vyote hivi naweza kuwa na jumla ya sh ngp!
Nadhani mpk hapa ni lazima ukiri kwamba wewe ndio huna akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.