Recent content by AljuniorTz

  1. AljuniorTz

    House4Sale Nyumba Inauzwa Full Shangwe Kigamboni

    Hakina, kina document kutoka manispaa ya Temeke na si wizara ya ardhi
  2. AljuniorTz

    House4Sale Nyumba Inauzwa Full Shangwe Kigamboni

    Nyumba ina vyumba vinne kimojawapo ni self, ukumbi wa kukaa na ukumbi wa kulia chakula, jiko stoo, n.k. Nyumba imebakia kuezekwa/kupiga bati. Ipo mita 300 kutoka barabara kuu jirani na shule ya Aljebra. Ina nyaraka ya manispaa ya Temeke, mwenye kuhitaji tuwasiliane 0713487490, karibuni.
  3. AljuniorTz

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Ni kwa nini hukumu ya muuaji imekuwa ni siri na kucheleweshwa?

    Hapa hakuna MOD? Hii post hapa si mahala pake kama nipo sahihi.
  4. AljuniorTz

    Prescott Bush: The Nazi-Bush Connection

    Prescott Bush was part of a large banking group that funded the Nazi party and the uprising of the Third Reich. Prescott Sheldon Bush (1895-1972) married George Herbert Walker's (1875-1953) daughter Dorothy Wear Walker (1901-1992) in 1921 and she was renamed of course, Dorothy Wear Walker...
  5. AljuniorTz

    Viongozi wa uamsho wafikishwa mahakamani

    Nafikiria hili sekeseke liliwakuta Masheikh na viongozi wa Kiislam, lingewakuta viongozi wa CHADEMA na kufikishwa mahakamani na dhamana zao zikazuiliwa...; 1) Je, wangetukanwa, kukashifiwa na kusimangwa viongozi walioshtakiwa, ama kibao kingegeuzwa kwa mahakimu na polisi waendesha mashtaka...
  6. AljuniorTz

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    "Penye miti hakuna wajenzi" au "nabii hakubaliki nyumbani"
  7. AljuniorTz

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwadila Mbu; nipo kaka...tunakimbizana na maisha....!!!
  8. AljuniorTz

    2012 African Cup of Nations.

    Jambo linalinishangaza hakuna TV station ya Tanzania iliyonunua haki ya kuonesha michuano hii; binafsi naangalia kupitia KBC Kenya...sasa sijui ni hali ya uchumi hapa kwetu ama walitegeana ama vp
  9. AljuniorTz

    2012 African Cup of Nations.

    dk ya 25 Zambia 2-0 Senegal Senegal wamepotezwa sn dk hizi 25 za mwanzo, Zambia wanacheza mpira wa kasi na pasi za uhakika, na hapa inaonekana faida ya kuwekeza soka kwa vijana wadogo
  10. AljuniorTz

    Buriani: John Ngahyoma

    sijaiona, na nime-search similar post haikuleta kitu, so wot cn I do???? Mods wanaweza kuchanganya na iliyopo
  11. AljuniorTz

    Buriani: John Ngahyoma

    Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC aliwahi kufanya kazi ya Radio One na ITV.
  12. AljuniorTz

    Movie Reviews

    Kuna ambaye ameiona Mission Impossible IV - Ghost Protocol; nimejaribu kupitia kwa wauzaji wa kibongo bado hawajaipata... Hebu pata hii clip...
  13. AljuniorTz

    CIA’s Daily Menu: 5mln Foreign Tweets!

    Kwa wale wanapenda kuropokwa maneno yasofaa, jamaa wapo kazini 24/7 ukija kukosa viza ya kuingia state usishangae; kumbe kuna mahala uliharibu na wenyewe wakakuona. CIA
  14. AljuniorTz

    Jibu nililopewa na idara ya ufundi ya IPP MEDIA limenisikitisha sana!!!!!!!!!!

    Sasa kwa hao operators; si ndani kwangu litakuwa zogo la kuwa na ving'amuzi vya kila kampuni??? Kwa nini wasitumie mfumo mmoja then mwananchi wa kawaida akaamua akitaka anahamia huku ama kule??? Ni usanii mwengine ule ule tu ili watu waendelee kuwaibia wenzao
  15. AljuniorTz

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    2-0 tnx to Ramires
Back
Top Bottom