Habari wana jukwaa
age : 23
gender: Male
nahitaji kazi yeyote ya night shift kwani mambo yamekuwa magumu sana.
ni mwanachuo mwaka wa tatu. na course nnayo soma ni miaka mi 4 na financially mambo ni magumu
mwenye sehemu yeyote anae weza kuni saidia am ready .
form 4 . div 1. 14
form 6 ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.