Recent content by afrodenzi

  1. afrodenzi

    Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuwawa na Hamas

    Nyani Ngabu (NN)my dear, I hope you're having a good laugh . naona umefanya watu humu wameanza kuongelea siri zao za ndani.
  2. afrodenzi

    Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

    Mi nipo Kaveli. Heri ya mwaka mpya :-)
  3. afrodenzi

    Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

    Duhhh wote hawa walituburudisha mno kipindi kileee. Na hisi mmoja wao atatoa nyimbo mpya soon. hii ni njia mmoja wapo tu ya watu kuwaongelea.
  4. afrodenzi

    Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

    Nipo besti, zama siku ? Naona JF bado mambo matamu. 😊
  5. afrodenzi

    Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

    Dahh, mbona uneandika kwa hasira sana? Anyway, kila mtu na maisha yake au vipi?
  6. afrodenzi

    Wakurd karibu wote ni Waislamu wa madhehebu ya Sunni lakini wamekataa Hijab, wanasema ni mila ya Kiarabu

    Dahhhh, JF bado patamu na raha sana kupunguza mawazo. nimecheka mno. lol 😆🤣😂
  7. afrodenzi

    Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

    Bujibuji Shikamoo. Anyways , Mmoja wa hao jehovah's witness alikuja gonga mlango wangu nikafanya kosa la kumkaribisha ndani na kumuhudumia kahawa. yaani ikawa kero kila kukicha anakuja nyumbani kwangu. akinikosa asubuhi anakuja jioni. Kero ikazidi nikamuomba sana asiwe anakuja nyumbani...
  8. afrodenzi

    Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    🤣🤣🤣. Mi nimekuja kucheka tu.
  9. afrodenzi

    UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    kinachohuzunisha ni kwamba watoto wa lio lawitiwa(victims of rape or sexual assault) hawatapata msaada wowote, kama vile canceling, au victims support kutoka kwa ustawi wa jamii. inasikitisha sana attention yote inaelekea kwa huyu padre (perpetrator). Hawa watoto ndio watakaoteseka miaka...
  10. afrodenzi

    Mjamzito afumaniwa akijamiiana hospitalini

    Duhh :eek::eek:🤯
  11. afrodenzi

    Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Watanzania bado tuna umasikini wa akili. Kwa hali hii hatutafika mbali. Miaka kumi ijayo bado tutakuwa tunalalamika umeme unakatwa hovyo mara hakuna maji etc etc. Tuna safari ndefu mno.
  12. afrodenzi

    Wazungu waanza kuambiana ukweli

    He is delusional.🤯
  13. afrodenzi

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Samahani mkuu. Ningependa kuuliza kama umesoma kitabu kiitwachwa Robinson Crusoe by Daniel Defoe?
Back
Top Bottom