Mega Projects in Tanzania

If you focus on the SGR project nobody speaks of its economic and financial feasibility. It is just extreme politics; either we know nothing[CHADEMA] or these are strategic projects for the this...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Engineers at ATC have made a prototype helicopter model that is currently in its final stages of completion and they projecting it will officially take to the sky by 2018. It is a two-seater...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ujenzi wa terminal 3 katika uwanja wa mwalimu JK Nyerere umeanza rasmi.. Source.. utawala.....
1 Reactions
82 Replies
34K Views
''The project to build a dam on the Rufiji River in Tanzania, which is being carried out by a joint venture of Egyptian companies, proves wrong Ethiopia that has been claiming Cairo is standing in...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Africa's ambitious infrastructure: Tanzania secures $272m for new airport ''Several African countries, and the African Union itself have prioritised infrastructure development as a means of...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ujenzi wa daraja linalopita baharini kutoka ufukwe wa Agha khan hadi coco beach jijini Dar es salaam umeanza, mambo kama haya ingekuwa vodacom ungesikia yajayo yanafurahisha mko tayar?
2 Reactions
23 Replies
8K Views
UJENZI wa meli mpya ya kisasa Ziwa Victoria umefikia asilimia 35, ambao unatarajia kugharimu Sh. bilioni 86 hadi kukamilika kwake. Hayo yameelezwa juzi jijini Mwanza na Kaimu Mhandisi Mkuu wa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Maendeleo ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha awamu ya pili Morogoro -Makutopora Singida wazidi kunoga umefikia zaidi ya 15% , ujenzi huu unaambatana na ujenzi wa Mahandaki 4 yatakayokuwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MABORESHO ya miradi ya reli ukiwamo wa Uboreshaji wa Reli ya Kati (TIRP) ya Dar es Salaam-Isaka wa kilometa 970 ni mikakati ya kufi kia malengo ya nchi kujitosheleza kwa miundombinu ya reli. Hivi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio design mpya ya flyover ya ubungo. Chini kabisa.. magari yote yanayo badilisha njia. Daraja la kwanza.. mavari yote yanayo toka kimara kwenda mjini pamoja na mwendokasi. Daraja la pili...
7 Reactions
41 Replies
13K Views
Mradi wa Umeme wa maporomoko ya Mto Rusumo uliopo mpakani wa Tanzania na Rwanda, unazishirikisha Nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi unaendeshwa kwa mkopo Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo...
5 Reactions
12 Replies
5K Views
SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania has announced that financial deals for the construction of the second phase of the standard gauge railway (SGR) are close to be finalised. The Minister for Finance and Planning, Dr...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Benki ya Maendeleo ya Afrika – AfDB imeridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi wa Kituo cha kupoza umeme cha Zuzu kinachofadhiliwa na Benki hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na...
9 Reactions
23 Replies
8K Views
Ujenzi wa Gati jipya Bandari ya Mtwara ambalo litakuwa na urefu wa mita 300 sawa na urefu wa viwanja vitatu vya mpira wa soka.
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wametia saini mikataba wa miradi mikubwa sita ya usambazaji maji kwa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wenye thamani ya Bilion 114.5. Utiaji huo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom