International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kumekucha. Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni...
18 Reactions
152 Replies
11K Views
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert...
21 Reactions
53 Replies
3K Views
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia Iran kijeshi muda...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani...
63 Reactions
153 Replies
9K Views
"Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya...
5 Reactions
77 Replies
4K Views
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington...
0 Reactions
5 Replies
812 Views
Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii...
7 Reactions
404 Replies
15K Views
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na...
13 Reactions
112 Replies
5K Views
Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na...
8 Reactions
85 Replies
10K Views
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi...
0 Reactions
6 Replies
897 Views
Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
27 Reactions
288 Replies
12K Views
Nimeleta uzi huu kuhusisha pande zote mbili za me&ke katika kila pande ichangie uzi huu ni kwanini dada zetu.Ni wachache utawaskia wakidai kinga pindi wanapokutana na wapenzi zao.Nimeliona hili...
1 Reactions
11 Replies
888 Views
List of KIA/WIA/MIA Russian Officers Killed list: Lieutenant General Yakov Vladimirovich Rezantsev, Commander, 49th Combined Arms Army, Southern Military District (killed Mar 24) Lieutenant...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo...
15 Reactions
176 Replies
10K Views
Russia yasimasmisha mashambulizi Mariupol kiwanda cha chuma kilichoko Ukraine Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma Kiwanda hicho kinamilikiwa kwa asilimia kubwa na viongozi...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom