aBuwash
Senior Member
- Dec 26, 2023
- 131
- 251
Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar
Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza nao.
Pili hii biashara ndo mala yang ya kwanz ko naomba kujua mkoa upi na chaka lipi linatoa mchele safi
Na jinsi gani naweza kugundua mchele safi yan kiufupi vitu vya kuzingatia unaponunua mchele huko vijijin
Pia kingine faida mfano nikichuka tani mbili faida inaweza kurange vp nikija kuuza na itachukua mda ganii
Wana jf naombeni msaada wenu sana lengo ni kujikomboa na umaskini