Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

Nitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.

Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.

Lengo la office :

- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.

- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
Hapo nimekuelewa
 
Ni Tanzania pekee ndio unakuta mtu anajadili fremu au biashara ambayo hailipii kodi au hana uhusiano nayo kabisa.
Mind your own business.
 
Binafsi najiulizaga sana sana huwa sipati jibu, yani unawza pita wiki vitu ni vile vile na hubahatishi hata mteja , unakuta muuzaji kalala kabisa chini ndani, yani hata kama ni kuzuga aisee dooh
 
I am not in danger. I am the danger
1714415509930.png

Vincenzo Jr
 
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?

Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo

Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni 2 kwa mwezi na huko alikofungua hata uwezekano wa mtu kumudu iphone hamna yaani huoni hata nzi akiingia dukani kwa jamaa😂😂😂

Hizo ndo biashara zilizopo dsm hii nyingi unabaki unajiuliza huyu mtu huwa analipa vipi kodi?Tena unakuta kaweka na wafanyakazi wa kutosha tu

Hata mlimani city na kwenye mall nyingi ni hivyo hivyo na kwenye maeneo mengi tz

Sasa hawa watu huwa wanamudu vipi kulipa kodi ya frem?Sazingine unakuta frem imejificha huko ndanindani sasa unajiuliza huyu anapataga faida kweli🤣🤣

Kuna duka naziangalia au biashara najiuliza kichwani kwamba huyu mtu huwa anapata hata jero kwa siku kweli?
Strategies za uzaji zipo nyingi mkuu! mambo yamebadilika now days, kwa mfano kama wateja wake wapo mitandaoni!
 
Nitakuelekeza, nina vihenge 5 vya magunia 100 kila kimoja Sumbawangu Rukwa, uwa nakusanya Mahindi na kuyauza.

Nina office Mbeya mjini nalipa 300,000 kwa mwezi mahali pazuri sana, kwa nje pana photocopy na stationery.

Lengo la office :

- Nikipata wateja wa Mahindi toka Kenya / Rwanda ndo mahali nakutana nao.

- Hiyo laki 3 nalipa pale haina uhusiano na hiyo stationery hata kidogo.
Siku zote huwa nataka kuwajibu hawa ila huwa nawaacha.
 
Ulimwengu ni mpana na mkubwa sana mkuu. Kuna uyaonayo kwa macho na kuna yasiyo onekana kwako wenzako wanayaona. Kwa akili na fikra zako za kawaida hutapata jibu.
 
Back
Top Bottom