Ntawatafuta nipige hata kistalert chakuzururia mjini hapa
Mancity washachana mkeka
Man city jana kaniharibia sherehe.
Monaco please nitunzie mkeka wangu. Lile,barca.live,chelsea,panairakos wote wamefanya yao!
mjomba mkeka wako umekubali unakula bata mwenyewe deo corleone
nilizidi kuonewa dah! Haka ka twenty nataka nikatupie kwa madrid na napoli leo,liwalo na liwe.