utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kama hujawahi kukutana na usumbufu, dharau na jeuri za watumishi wa serikali, utaendelea kutoona anachofanya Makonda

    Ukweli ni kwamba yawezekana Makonda ana mapungufu yake kama mwanadamu mwingine yeyote. Lakini kwa kero za nyingi ya ofisini za uma hasa unapokuwa unahitaji huduma yenye viashiria vya maslahi, utazungushwa na kusumbuliwa kwa vitu vidogo sana, unapoteza muda, gharama ya fedha na gharama zingine...
  2. waziri2020

    Mfanyabiashara aidai milioni 227 halmashauri ya Monduli kwa miaka 18 ni baada ya kujenga shule ya Sokoine

    Mfanyabiashara na mkazi wa jiji la Arusha, Patrick Swai ameangua kilio mbele ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akilalamikia halmashauri ya Monduli kushindwa kumlipa malipo yake ya sh, milioni 227.7 kwa muda wa miaka 18 baada ya kukamilisha ujenzi wa shule. Akiongea na vyombo vya habari...
  3. M

    Makonda utaacha lini kutumia jina la Rais ili kukidhi matakwa yako binafsi ya kisiasa?

    Naandika nikiwa na mshangao mkubwa. Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni wateule wake yeye mwenyewe wakiwemo mawaziri wake. Kitendo hicho peke yake kikamdhalilisha sana rais...
  4. L

    David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi, uwekezaji, biashara na mengine mengi. Kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake...
  5. kiroba kifupi

    SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  6. mackj

    SoC04 Wakurugenzi wa halimashauri wapatikane kwa mfumo wa ajira ili kuleta dhana ya utawala bora na uwajibikaji kwa wananchi na siyo kwa watawala

    UTANGULIZI. Ni makala ya story of change ya jamii forum, inayochochea mjadala wa kitaifa juu ya masuala mbalimbali, nami nikiwa nimeangazia dhana ya utawala bora nchini Tanzania, ili kuipata “Tazania tuitakayo” jina langu ni Makiwa Jumanne Ni hivi karibuni Taifa la Tanzania limetimiza miaka 63...
  7. NYANOHA

    SoC04 Tanzania yenye Utawala Bora na Adilifu

    Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu Tanzania tuitakayo yanayoweza kutekelezeka ndani ya Miaka 5 hadi 25 ijayo. Nmemeandaa mawazo kadhaa...
  8. C

    Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  9. Manyanza

    Kwanini vetting ya viongozi wa Zanzibar hufanyika Tanzania bara?

    Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa mwaka 1964. Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. JF Toons

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Vipi mdau, umeelewaje katuni hii? Upi mtanzamo wako kwenye katuni hii?
  11. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
  12. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
  13. BARD AI

    Rushwa huathiri Utoaji na Upatikanaji wa Huduma Bora katika Afya, Elimu, Miundombinu na Utawala Bora

    Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma. Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa: Rushwa...
  14. Mjukuu wa kigogo

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  15. JF Toons

    Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka deni, na usiku wa deni haukawii kukucha. Je, ni ahadi zipi ziliwekwa na kiongozi wako ambazo...
  16. Analogia Malenga

    Je, uwekezaji finyu kwenye somo la Uraia, ni nia ya kuwafanya watu wasijue haki na wajibu wao ili kuiwajibisha Serikali?

    Wakati wengi wanazungumzia ufaulu wa hesabu, jambo la kushangaza ni kwamba, waliopata A kwenye somo la hisabati ni wengi zaidi kuliko waliopata A kwenye somo la Civics. Hapa nimetumia masomo saba ambayo wanafunzi wote wanasoma na kuangalia ufaulu wa masomo hayo. Nimewaza zaidi inakuwaje watoto...
  17. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  18. G-Mdadisi

    Wadau wa Haki za Binadamu wazungumzia Umuhimu wa Utawala Bora wa Sheria

    WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
Back
Top Bottom