Search results

  1. dr namugari

    Ilkuwaje jomo Kenyatta amuambie Nyerere kuwa anaongoza maiti walio lala

    Embu kwa walio kuwepo Ni kipi kimetokeaa Hadi Nyerere kuambiwa anaongoza maiti zilizo lala naambiwa kuwa alimtamkia wasi wasi Mm nafikri jomo Kenyatta aliona jins watanganyikaa tulivyo na ndio maaan Hadi leo tumelala na tunapelekeashwa vilivyo na hakuna tunaweza fanya wanao Imagine bandari...
  2. dr namugari

    Dollars zimekwenda wapi? Kwa Sasa inapatikana kimagendo bila connection hupati

    Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa. Basi kutoka na ninayoyaona hapa ndani ya nchi hii ikabidi nimdokeze baada ya kuona mzigo wake unakariibia kukata na mzigo huu unatoka Zambia kisha kwenda...
  3. dr namugari

    Tuelezwe Rais Samia ametumia kiasi gani kwenda Korea kusini

    Wakuu bila kipotwza Muda Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako...
  4. dr namugari

    Mzazi wangu amekogoma kupokea posa ya mwanaume wa kiislamu

    Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa...
  5. dr namugari

    Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za...
  6. dr namugari

    Ilikuwaje Afisa Ardhi apokee rushwa mbele ya Mkuu wa Mkoa na Rais Mwinyi?

    Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion tano mbele ya RC na mbele ya rais Mwinyi. Rc makondaa alisema "huyu bwan alivyo wa aajbu alipewa...
  7. dr namugari

    Kwanin Baba Nyerere hakutuganisha na rwanda na burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

    Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
  8. dr namugari

    Mnavyosema kuwa Mama Samia kakopa sana, oneni hii ripoti ya IMF

    Mnavyosema mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na IMF. Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa...
  9. dr namugari

    Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  10. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  11. dr namugari

    Natafuta Probox used namba A,B,C,D

    Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie Bajeti yangu Ni 4m , Nataka niuuzr guta nimiliki pro box Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
  12. dr namugari

    Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  13. dr namugari

    Tuache utani, wachaga wana bahati na wanajua sana biashara

    Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
  14. dr namugari

    Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  15. dr namugari

    Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

    Nilikuwa nasoma uzi wa Furtunatus Boyombe kuhusu idadi kubwa ya wahamiaji haramu ambao wako serikalini kwa idadi kubwa wote Wana akili kubwa kubwa mno Mfano wengi unaawakuta wako BOT UDSM SUA IFM TRA UHAMIAJI WAJUMBE WA BODI TARURA TAKUKURU JWTZ Kwa kifupi Ni hivi, wote hakuna hata mwalimu wa...
  16. dr namugari

    Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  17. dr namugari

    Vitambulisho vingi vya Nida vimekosewa

    Jana nilikwanda kuhuhisha taarifa zangu za kibenki ndipo nikakutana na kadhia hyo kuwa vitambulisho vingi vimekosewa Kuanzia majina Maahali uliko zaliwa Wilaya uliko zaliwa Kijij uliko zaliwa Kata Shule ya msingi niliyo Soma nk... Majina pia ya mam mzazi yote yalikosewa na Hili nilibaini...
  18. dr namugari

    Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
  19. dr namugari

    Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

    Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano Pili...
  20. dr namugari

    Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

    Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda...
Back
Top Bottom