Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,556
2,266
Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?

=======

Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka Johanesburg.

Internet.png
===

Pia soma:

- Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania
- Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
 
Back
Top Bottom