Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,969
221,467
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania.

Screenshot_2024-04-23-23-25-59-1.png


Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF

==========
Awali Mwamba kabisa akiwasili Mjini Bariadi

Screenshot_2024-04-24-13-54-28-1.png
Screenshot_2024-04-24-13-54-41-1.png


Chuma Chikolii Moto

Screenshot_2024-04-24-14-27-51-1.png
Screenshot_2024-04-24-14-27-32-1.png


Bariadi Moja hiyo , kimenuka rasmi


Screenshot_2024-04-24-14-41-13-1.png


Screenshot_2024-04-24-14-41-23-1.png
Screenshot_2024-04-24-14-41-42-1.png
Screenshot_2024-04-24-15-36-50-1.png
Screenshot_2024-04-24-15-36-40-1.png
Screenshot_2024-04-24-15-37-10-1.png
 
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na Chadema , leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu , ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi nchini Tanzania

View attachment 2972494

Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri .

Usiondoke JF
==========
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
 
Unaamini ugumu wa Maisha TZ Ni kwakuwa watu hawafanyi kazi?

Naomba kujua Level ya Elimu yako, tafadhali haraka?
wafanya kazi kwa bidii hawawezi eti kuacha kazi zao mathalani mashambani, masokoni au malishoni wajiunge na wavivu ati mahali fulani kuna mtu anasababisha ugumu wa maisha yao 🤣

that is useless kabisa...

the priority of every able citizen here in Tz should be working hard and nothing else 🐒
 
Back
Top Bottom