Geita: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,496
220,140
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya Geita .

Tayari Mwamba kabisa wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe ametua Geita na kupokelewa na viongozi wa Kanda hiyo .

Screenshot_2024-04-25-13-08-32-1.png
Screenshot_2024-04-25-13-08-11-1.png

Usiondoke JF , hii ni kwa sababu Mimi mtumishi wako Erythrocyte nitakuletea kila kinachojiri .
=========
Tayari Wananchi wako Barabarani .

Screenshot_2024-04-25-14-21-54-1.png
Screenshot_2024-04-25-14-22-19-1.png
Screenshot_2024-04-25-14-21-28-1.png
Screenshot_2024-04-25-17-47-06-1.png
 
Nini matokeo na shabaha ya maandamano haya mkuu
Kupinga Ugumu wa Maisha na kupinga Sheria mbovu za Uchaguzi zilizosainiwa na Mwenyekiti wa CCM kwa manufaa yake binafsi na chama chake .

Sasa Matokeo ya haya maandamano utayaona baadaye kidogo , vuta subra , Hii nchi yenu kwa vile ni ombaomba basi muda si mrefu mtaanza kufunga mikanda
 
Asante mkuu

CCM wameziba masikio, tunalo la zaidi ya kuandamana ili pamba ziwatoke masikioni?
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya Geita .

Tayari Mwamba kabisa wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe ametua Geita na kupokelewa na viongozi wa Kanda hiyo .

View attachment 2973528View attachment 2973529

Usiondoke JF , hii ni kwa sababu Mimi mtumishi wako Erythrocyte nitakuletea kila kinachojiri .
=========
Tayari Wananchi wako Barabarani .

View attachment 2973560View attachment 2973561View attachment 2973562
Hovyooo kabisa
 
Freeman Mbowe akisalimia Bibi Mkongwe aliyeamua kushiriki Maandamano kwa Manufaa ya Wajukuu zake

Screenshot_2024-04-25-14-59-42-1.png
 
Back
Top Bottom