Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,034
3,348
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
 
Mattatizo ya akili hayo - hapo usitafute maombi maana hayo matatizo hata wachungaji na mashekh wanayo

Jaribu kufanya meditation hii itakusaidia kuifanya Akili Kuwa na kitu kinaitwa Enlightenment ukifika hii hatua utakuwa smart na hisia zako zitabalance .
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
Trust me haumpendi uko na upweke,,,anaweza kuwa mrembo kama unavyosema lkn hakuna chemistry kati yenu
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
Mke wako nae wanamtamani hivyohivyo ngoja nawe ugongewe ili akili ikukae sawa
 
Huyo mzinzi mkuu

Uzinzi unamsumbua anabidi afanye meditation aondoe uchafu katika imagination yake

.
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe,,,lkn ndani ya miezi miwili tu ndani ya ndoa anahisi hivyo ujue huo ni upweke

Baada ya kuoa na akili kurudi ktk hali ya kawaida anaona kuna gap ndio maana anataka kufidia the missing part
 
Hii ni kweli jinsi unavyokaa na MTU haijalishi Ana uzuri gani ila ile intimacy bond kama haipo inasababisha upweke. Mkubwa .

Na hii hali tunaipitia watu wngi Sana hapa duniani
 
Kweli kabisa chief

Naamini kabisa wengi wetu huwa tunaoa watu ambao sio sahihi kwetu na wengine wanaolewa na watu ambao sio sahihi kwao

Tunajikuta bond zinapatikana kwa michepuko

Swala si kuoa mke mrembo au kuolewa na mume handsome,,,je kuna chemistry kati yenu?

Naamini kabisa kama hakuna chemistry kati yenu lazima utahisi kuna kitu kinapungua
 
Ndoa ina over 5 years kaka. Sikua na hizo hisia kipindi cha nyuma. Ni kuanzia mwezi March ndo hii hali imenianza

Back
Top Bottom