Nauza saloon ya kiume (Barber shop)

Kipondo Cha ugoko

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
675
1,096
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).

Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop chair), chumba cha scrub na vifaa vyake vyote, mashine, na Kila kitu muhimu, wewe ni kuchukua na kuingiza pesa tu, saloon ina muda mrefu hivyo tayari Ina jina na mzunguko wa wateja ni wakutosha(kuhusu wateja hutojuta labda uzingue mwenyewe)

Nahitaji million 8 tu naiachia. Kuna mkataba wa mpaka January, kwa maarifa zaidi kama mawasiliano, picha za barbershop yenyewe, location we ni-PM tu Kila details utapewa.

Mwisho: njoo pm ukiwa serious, siitaji watu wa joking mwenye Mali ni Mimi mwenyewe!
 
Ukitaka watu serious, Weka Full details za Biashara yako ili upunguze maswali huko inbox unakotaka watu waje.

Kuna mtu atakuja inbox ili kuona picha tu, mwingine atataka orodha ya vitu vyako athaminishe na hio 8m, mwingine atataka picha ya Furniture zilizopo, mwingine atataka aone muonekano tu wa ofisi n.k.

Hakikisha tangazo lako limejibu maswali mengi ya wateja, ili upate watu Serious inbox.
 
Nikianza
Dalali Acha mikwara yako. Kama wewe ndio mmiliki unashindwa nini kuorodhesha kila kilichomo ndani ya saloon yako mpaka ufuatwe PM?
Nikianza kuorodhesha Kila kilichomo nitaandika kurasa nyingi sana, mkuu na Mimi ni mvivu wa kuandika! So ndio maana nikasema kama Kuna mtu anakuja seriously basi naweza kumpeleka ofsini akakagua Kila kitu kwa macho yake then akafanya maamuzi
 
Tambua siyo kila mtu yupo Dar , au unataka mtu asafiri kutoka Iringa aje aione ofisi na vitu unavyoviuza?
 
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).

Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop chair), chumba cha scrub na vifaa vyake vyote, mashine, na Kila kitu muhimu, wewe ni kuchukua na kuingiza pesa tu, saloon ina muda mrefu hivyo tayari Ina jina na mzunguko wa wateja ni wakutosha(kuhusu wateja hutojuta labda uzingue mwenyewe)

Nahitaji million 8 tu naiachia. Kuna mkataba wa mpaka January, kwa maarifa zaidi kama mawasiliano, picha za barbershop yenyewe, location we ni-PM tu Kila details utapewa.

Mwisho: njoo pm ukiwa serious, siitaji watu wa joking mwenye Mali ni Mimi mwenyewe!
hiyo bei ni pamoja na namba za mganga na kale ka hirizi unakotumia au hivyo nakuja navyo mwenyewe?
 
Tambua siyo kila mtu yupo Dar , au unataka mtu asafiri kutoka Iringa aje aione ofisi na vitu unavyoviuza?
Mkuu mbona Uzi unajieleza vizuri?? Au haujausoma? Nimesema for more details kama mtu anahitaji basi aje pm naweza kumpa mpaka videos akathaminisha
 
Ndio maana sijataka kuweka picha humu kwa sababu nishajua wazinguaji kama wewe mpo tele!

Watu wenye wako serious washani- pm kitambo na Kila details walizotaka nimewapa
Sasa kwanini ulituwekea tangazo...si unge wafuata huko huko inbox... online marketing huwa inasindikizwa na picha...mheshimiwa...siku kwambia kwa kukukejeli...

Ya dhahiri huwa yanafanyika dhahiri​
 
Milioni 8 kwa viti vilivyochoka namna hiyo ndugu? Haupo serious wewe
Unajua maana ya Brand ndgu?? Achilia mbali kuuza furniture Kuna mtu anauza brand tu(jina) kutengeneza kiti ni very easy hata wewe hapo unaweza lkn kutengeneza brand sio kitu rahisi. Wanaojua biashara ya saloon hawanunui furniture mzee!

Alafu acha uongo viti havijachakaa mzee😅
 
Unauza maneno kwa millioni 8.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom