Natafuta mchumba hatimae aje kuwa mke

Kevoo90

New Member
Jul 5, 2023
1
2
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom