Nenda kanisani wachumba wapo sio mtandaoniiii...Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
Kila mahali wachumba wapo...Nenda kanisani wachumba wapo sio mtandaoniiii...
Weka hata maelezo kiasi, au ilimradi awe anapumua?Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
Kweli mkuu, Ongeza kidogo maelezo...Weka hata maelezo kiasi, au ilimradi awe anapumua?
Ushauri wa bure sio kukafisha tamaa mitandaoni kuna wasanii wa kaole....Kila mahali wachumba wapo...
Usikatishe tamaa wenzako...
Ni kuomba tu Mungu amkutanishe na mtu sahihi maana hata barabarani Kuna wasanii wa Nigeria...Ushauri wa bure sio kukafisha tamaa mitandaoni kuna wasanii wa kaole....
Dalali kazini...Kama unakubali connection andaa elfu 50 kisha njoo PM
Upo Dar maeneo gani maana hata Chanika ni Dar
Sasa madam unamuambia aongeze maelezo yeye ndio anahitaji mchumba?😀Kweli mkuu, Ongeza kidogo maelezo...