Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,399
- 95,894
Nadhani unaongelea first round naweza kukubaliana na wewe, lakini mtu ambaye uko under 50 hata ukikojowa kwa muda huo bado unapaswa kuwa na nguvu za kuendelea na kazi mpaka second part naye akojowe.Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka.
Kuna mambo mengi nyuma ya huo muda kuna kukamia na dawa za nguvu pia
UHALISIA
Tendo la ndoa
Dk 1-2 ni muda mchache
Dk 3-7 ni muda KAWAIDA
Dk 10-30 na kuendelea ni muda mrefu
Mwanamke usimuache mtu wako kisa muda mchache
#Ukimuonesha tu unaridhika na hujali mumeo au mpenzi wako taaratibu ataperfom vizuri
#Ukionesha kutoridhika na kumsema ujue unamuharibu na hatokuja kukaa sawa.
Then from there mkirudi kwenye game no excuse unatakiwa upige mzigo mtoto wa kike ajuwe yupo na dume la mbegu.
Vitu vyote vya kufanya ili mwanaume uwe na nguvu vimeshaelezwa sana siwezi kurudia, ukishindwa kufuata utaratibu wa lishe na mazoezi basi tumia bapa la Konyagi ili damu ichemke, halitokuvunjia heshima, mziki wake ni kama watumia vumbi.