Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

MUGA MUGA

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
417
377
Salaam wana JF.
Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi.

Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si chini ya Dk 35 - 45

Changamoto za Maisha na zakifamilia, sambamba na oparation za uzazi, zikamfanya Mpenzi wangu, mke wangu na mama wa watoto wangu asiweze kucheza mechi zaidi ya round 1.
Yaani hata kama round itaisha dakika 2, haki ya Mungu bibie harudi Uwanjani hata kwa makofi.

Utasikia anasema '"imeisha hiyo, ww nenda kalale" Hilo nikanifanya niwe dhaifu kwakuwa Huwa napiga goli la kwanza mapema mno, alafu msuli bado unadai.

Nimesumbuka kifikra kwa muda mrefu sana. Lakini hivi majuzi nimepata SURUHISHO la kwanza baada ya kusoma Kijitabu fulani Mtandaoni [ MASTURBATION & REAL SEX ]
Mwandishi anasema ili Uimudu Mechi kwa zaidi ya Dk 30, inakubidi upige puli moja pembeni & then urudi kwenye Game ya ukweli.

Binafsi nimepractiz na imenipa matokeo chanya. Sasa ninaumega Mkate vema, na bibie anashangilia kwa machozi na a e i o u kama zote.

VITU NILIVYOKOTI NA KUVIZINGATIA BAADA YA KUMASTABATE
- Uwezo wa kuliamsha DUDE kwa mala ya pili kwaajili ya Real sex.
- Breath balancing
- Body Energy & Stamina to pressurize perfomance uwanjani.
Na mwisho ni jitihada binafsi ya ku keep sensation going ili Kajogoo asilale
=> Kama kuna mwenye Suruhisho la 2 & 3 anisaidie tafadhari.
 
Utapoteza muda wako bure tu,akishakuzoea hata umalize lisaa hutomfikisha cha zaidi atasema amechoka.
 
Utapoteza muda wako bure tu,akishakuzoea hata umalize lisaa hutomfikisha cha zaidi atasema amechoka.
Magu voice: huu ndio ukweli!

mke wako ambae kila siku unafurukutua humfikishi kileleni kila siku.

Kama ilivyo kwa sisi wanaume, unapofanya tendo mara kwa mara ndivyo hatua ya kufunga goli inazidi kuwa ndifu zaidi kutokana na ile hali ya kuizoea.

Sasa mwanamke (sio wote) akifanya mara kwa mara yeye sio kuchelewa tu bali hafiki, badala yake "anachoka"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom