Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
855
930
Tuwekane sawa

#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.

#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka.

Kuna mambo mengi nyuma ya huo muda kuna kukamia na dawa za nguvu pia

UHALISIA

Tendo la ndoa

Dk 1-2 ni muda mchache

Dk 3-7 ni muda KAWAIDA

Dk 10-30 na kuendelea ni muda mrefu

Mwanamke usimuache mtu wako kisa muda mchache

#Ukimuonesha tu unaridhika na hujali mumeo au mpenzi wako taaratibu ataperfom vizuri

#Ukionesha kutoridhika na kumsema ujue unamuharibu na hatokuja kukaa sawa.
 
Back
Top Bottom