LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

GAC Hyper SSR
GAC wazindua electric hyper car Hyper SSR (Super Sport Race). Hii ni gari nyingine kuidiscuss mbali na GAC Aion V SUV tulioiongelea siku za nyuma.

F8AOx4jXEAAmBZY-1.jpeg
Slide-4_3-9-9.jpg


Hii super car ina power 1,224 HP, na ina acc ya kutoka 0-100 kph kwa 1.9 sec, na range ya kilometa 506 baada ya full charge.
Slide-4_3-9-10.jpg

Slide-4_3-9-8.jpg


Kwa ndani, ina two seats, 14.6 inch screen pale katikati na inch 8 ya dereva.
Slide-4_3-9-12.jpg

Hamjaniuliza bei ila nawaambia $177,000 tu.
 
Dunia iliyopo na inayokuja inafurahisha. Katika yote haya Africa Tupo wapi? Where do we fit?
Kiukweli tunahitaji visionary leadership. Otherwise, tutaendelea kuishi kwa kudanganyana na kuviziana na watawala wetu.

human civilization has a lot, a lot more to learn from china 🇨🇳.
 
Chery Sterra ES
Hii ni electric sedan, ambayo kwa China inaitwa Chery Exeed Exlantix ES.
1488x0_0_autohomecar__ChxoHmYwVhKAHJbpAAFHcDD7MHI246.jpg

Ina range hadi ya 905 kilometres, utachagua battery ya 90kWh au 67kWh.
 
GAC Hyper SSR
GAC wazindua electric hyper car Hyper SSR (Super Sport Race). Hii ni gari nyingine kuidiscuss mbali na GAC Aion V SUV tulioiongelea siku za nyuma.

View attachment 2977404View attachment 2977405

Hii super car ina power 1,224 HP, na ina acc ya kutoka 0-100 kph kwa 1.9 sec, na range ya kilometa 506 baada ya full charge.
View attachment 2977418
View attachment 2977407

Kwa ndani, ina two seats, 14.6 inch screen pale katikati na inch 8 ya dereva.
View attachment 2977417
Hamjaniuliza bei ila nawaambia $177,000 tu.
Thank you Mleta uzi for sharing these inspiring stories which confirms boundless capacity of human ingenuity to innovate and create.
 
Chery wazindua AI Robot aitwae Mornine
Chery kampuni ya magari, ambayo ni kampuni mama ya Omoda na JAECOO sasa waja na robot lenye muonekano kama mtu liitwalo Mornine.
chery1-1024x682.jpg

Hawajataja specifically sifa za huyu robot, ila wametuambia tu majukumu yake makuu matatu ambayo anaweza kufanya:

1. Smart waiter au muhudumu katika maduka madogo madogo.

Hapa atawapatia wateja msaada kwa kutoa information mbalimbali watakazo uliza, kwa mfumo wa Question & Answers au kuchagua topic.

Mfano: Bank, badala ya kua na desk la enquires unakua na uyu robot ambae atajibu baadhi ya maswali ya wateja mfano taratibu za kufungua account etc.

Pia katika shopping malls, mfano mteja kuuliza bidhaa flani inapatikana wapi etc.
Chery-Mornine-1024x576.png

2. Anaweza kua rafiki/companionship wako nyumbani.
Hujawahi kua bored hadi unamuuliza Siri au Google "What is the distance from Dar es Salaam to the Moon"?

Sasa Mornine atakuja kua wise friend wako, asie boa wala asiepiga majungu behind your back.

Kwa kuact kama intelligent house assistant atakua anakukumbusha vitu mbakimbali kuanzia vya kuhusu kazini, tasks za home, recipes mbalimbali etc.

3. Viwandani wanaweza kumtumia kudevelop na kuoptimize kazimbalimbali kutegemea matakwa ay objective zao.

Wale teamk KataaNdoa hawaweza kumtumia kwa matumizi mengine yoyote. Huyu sio kama alietuahidi Bwana Elon Musk.
 
Fulwin E06 yazinduliwa na Chery
Chery wanazidi kufanya maajabu. Na ni maajabu kweli kweli. Sasa wazindua intelligent SUV iitwayo Fulwin E06. itakayokua ya umeme (EV) na hybrid (PHEV).
Chery-Fulwin-E06.jpg


Kwa muonekano, hii SUV kwa mbele ina roof lidar (kwa nje), taa nyembamba (headlights), no fogs wala side blinkers kwa chini. Kwa pembeni tuna door handles za kujificha (ishakua trend), na vingine kawaida.
4.jpg

Tuanze na hii hybrid. Itakuja na engine 1.5L Turbo, na ukiweka EV mode battery lake litakupeleka 200 km.
Wakati huo huo, yenye pure umeme itakupa either 500 km au 700 km, baadhi ya information wameficha bado.
image-4.png

Kuhusu Smart Driving Assist System, hii gari ita NOA (Navigation Auto Pilot) ya mjini na highway, jumlisha auto parking, remote control parking, na memory parking.
image-1.png

Kwa ndani, idadi ya buttons imepungua. Tuanze na upande wa dereva kuna LCD instrumental cluster, katikati kuna 15 inch screen, wireless charging, a zero-gravity seat, friji na kuna options 256 za ambient color lighting.
2-2.jpg
 
Hisa hisa hisa, Huku ndo future ilipo bakia, ni technology tu.
Kama mpinzani ana nunua, sisi ni kina nani.
Mad Max

On Tuesday, Cathie Wood-led Ark Invest made significant trades, with the most prominent ones involving BYD Co Ltd BYDDY and Palantir Technologies Inc PLTR.

Ark Invest, through its ARK Autonomous Technology & Robotics ETF, purchased 18,748 shares of BYD Co Ltd. Based on the closing price of $54.47 on the same day, the estimated value of this trade is approximately $1.02 million.

Ark Invest also made a significant move in Palantir purchasing 45,453 shares through its ARKQ ETF. With a closing price of $21.97 on the same day, the trade is valued at approximately $1 million.
FB_IMG_17146742505444104.jpg
 
Wakuu, tumalize leo.. siku mbili (2) izi sija update sana uzi kwasababu, topic kuu zilizokua zinazungumzwa ni:

1. Prototype cars
2. Battery technology
3. Technology kwenye magari
4. Presentation za makampuni kuhusu magari yao yaliopita..

All in All, China anatuletea ushindani mzuri sana kwenye soko la magari, especially hybrid na umeme.

Unakumbuka Tesla Model 3 ilikua $ 48,000 mpya enzi izo wanajiona wao ndio EV makers sahivi mpya inauzwa $ 35,000 na zinazidi kushuka bei.
 
Wito kwa mafundi:

Angalieni upepo. Ata kama kwenda course hauwezi basi anza mdogo mdogo kujipa tutorial za electric cars na hybrid.

Hatupendi ila technology inatuforce twende uko. Magari ya engine yanaendelea kuwepo sana ata miaka 50 ijayo lakini jiandae kuletewa EV gereji, utakataa?

Ni kama mafundi redio na mafundi saa wa zamani walivyojiongeza wakaanza kutengeneza simu.

Akili
 
Serikali na nyie mtuonee huruma kwenye kodi za EV na Hybrid. Just fanyeni research mlegeze kamba.
 
BYD remained China’s leading new energy vehicle brand after selling 313,200 units in April, followed by Geely, which sold 30,892 pure EVs. Newcomer Xiaomi Auto delivered 7,058 vehicles last month since it started deliveries on April 3.
 
Back
Top Bottom