LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

MG EXE181 hypercar ina brake za Parachute
Okay, hii chombo imezinduliwa na MG Auto, ni single seat EV hypercar ikiwa na ground clearance ndogo na teardrop shape inayoipa drag coefficient ya 0.181.
mg-exe181-concept.jpg

Hii gari ina jumla ya 1000+ hp (eactly figure hawakusema), na top speed ya 415 km/h, na inaweza accerelate 0-100 km/h kwa sekunde 1.9 tu. Accerelation sio kubwa kutisha kwasababu tushaona Lucid Air imeenda 1.7 sec na Elon Musk ametuahidi Roadster yake itatumia chini ya sekunde 1 kufika iyo speed (Sema huyu jamaa usimuamini kila anachoongea)!

mg-exe181-concept (1).jpg

EXE181 ina electric motors 4 na ndani haina fancy interior ila muundo na steering kama ya F1, ukiwa umekaa kibabe kama Lewis Hamilton.
mg-exe181-concept (4).jpg
mg-exe181-concept (5).jpg
mg-exe181-concept (3).jpg
mg-exe181-concept (2).jpg

Sijui ukileta utaendesha wapi, ila tungependa ukilete.
 
Sijui ni wizara ya mambo ya nje au ya viwanda, wangefanya mchakato mapema.

Angalau BYD Tanzania ikawepo, tukawa wa kwanza kwa East Africa.

Mwaka jana BYD washaingia South Africa na wana magari wanayatengeneza locally. Inaleta faida kwa ajira na tunapata 0 kilometa cheap.

BYD Kenya ipo ila showroom tu na Nigeria.
Kenya wameanza kutumia mabasi ya umeme ya BYD
 
BYD Seagull
Gari dogo kutoka kwa BYD imekua upgraded. Hizi Seagull ndio gari ndogo kabisa kutoka kwa BYD zinashare platform na E series (mfano E2). Ni ndogo kidogo kwa Dolphin.
View attachment 2976341View attachment 2976342View attachment 2976343

Kilichompa umaarufu uyu gari sio muonekano, bali ni bei (value for money).

Kwa $10,000 tu unapata 74 hp kutoka kwa either 30 kWh (range = 305 km) au 38 kWh (range ni 405 km) LFP BYD Blade Battery.

Hii wakiitumia tumia itashuka bei hadi $4,000 hafu ndio wandava tunanunua.
Tunasubiri kwa hamu 🤣

Ama kweli sisi ni wasindikizaji wenzetu hapa duniani 🤣
 
Waafrika tuna jifunza nini katika huu uzi ? Mfano tuchukulie nchi yetu Tanzania.

Ningependa kuona hili swali likijibiwa na watu humu.
Ni maumivu kwa mtanzania wa kawaida, ukisoma haya unajisikia uchungu, lakini hii haibadilishi chochote sababu viongozi wetu hawajali standard ya maisha ya binadamu wa kawaida, wanasiasa wanajua taifa hili lina watu wajinga ambao ni wepesi kwa kudanganyika kwa vitu vidogo, na wenye akili wachache wameamua kuwa wanyonge tu au kuunga mkono juhudi mradi waisha kwa amani na mikono iende kinywani
 
Hivi serikali yetu haiwezi kuona fursa angalau kuwashawishi moja ya makampuni ya Electric cars mfano BYD kutoka china waje kuwekeza nchini?

BYD wako kasi sana. Ni future (Toyota) soon tutaanza kuyaona kila mahali.
Hawawezi kukubali, kuja kuweka kiwanda hapa, hali watanzania hali tete, hata kuuza gari zao soko la ndani ni changamoto.

Serikali ibadilishe nchi, iboreshe maisha ya watz, sera ziwe rafiki makampuni ndio yatajazana.
 
MG EXE181 hypercar ina brake za Parachute
Okay, hii chombo imezinduliwa na MG Auto, ni single seat EV hypercar ikiwa na ground clearance ndogo na teardrop shape inayoipa drag coefficient ya 0.181.
View attachment 2976861

Hii gari ina jumla ya 1000+ hp (eactly figure hawakusema), na top speed ya 415 km/h, na inaweza accerelate 0-100 km/h kwa sekunde 1.9 tu. Accerelation sio kubwa kutisha kwasababu tushaona Lucid Air imeenda 1.7 sec na Elon Musk ametuahidi Roadster yake itatumia chini ya sekunde 1 kufika iyo speed (Sema huyu jamaa usimuamini kila anachoongea)!

View attachment 2976865

EXE181 ina electric motors 4 na ndani haina fancy interior ila muundo na steering kama ya F1, ukiwa umekaa kibabe kama Lewis Hamilton.
View attachment 2976868View attachment 2976871View attachment 2976872View attachment 2976873
Sijui ukileta utaendesha wapi, ila tungependa ukilete.
Hii ndo yenyewe changamoto ni barabara zetu za bongo
 
Magu aliwapa UK wachimbe nickel pale bukoba,
Kwanini asinge waambia wajenge kiwanda cha kuzalisha hizo battery za Gari ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuleta ajira Kwa wa tz.

Lakin jiwe akasaini ile mkataba wenye Thamani ya pounds £ 500 millions, harakaharaka kama chizi vile, bila kujali maslahi mapana ya Nchi 🇹🇿
Ngumu kujali maslahi ya taifa sababu wametanguliza maslahi binafsi, usikute katika hilo dili alikunja dola milioni 100 yake mfukoni, so hajali kabisa kuhusu tanzania.
Taifa hili halitokuja kuendelea kamwe kwa hii tabia iliyoota mizizi, kila mtu ni (Chukua Chako Mapema )
 
Wakuu, wakati maonyesho yanaendelea uko Beijing, kuna vitu vitatu (3) vimejitokeza huko China (ndani ya maonyesho na vingine nje) na kwa namna moja au nyingine vinahusiana na magari, especially Electrical Vehicles.

1. Solid State Batteries
Lengo kubwa la magari ya umeme ni kua cheap ku-maintain na gharama ndogo ku-run. Challenge inayokuja ni limitations ya hizi battery, especially kwenye range na reliability. Battery za sasa ni Lithium Iron Batteries mfano: Lithium-ferrous-phosphate (LFP).

Sasa Battery za sasa zinatumia electrolyte ya liquid, wakati Solid State Batteries (SSB) zenyewe zinatumia electrolyte ya solid.

Hii inapelekea SSB kua salama zaidi, kuna na high density zaidi (50% denser) na kua ndogo.

Hii inamaana kwa size sawa, SSB itakua na energy mara mbili zaidi ya izi battery tulizonazo kwenye EV.

Kampuni ya Nio wameshatest gari lao lenye SSB (150kWh) na limepata real life range ya kilometa 1000+ kwa trip 3 tofauti tofauti.

Tatizo la SSB ni gharama sana, ndio maana makampuni mengi yanasubiri technolojia iwe cheap kidogo.

2. ADAS ya FSD
Tumesukia na kuona Elon Musk kaenda Beijing, sio kuonesha gari wala kushiriki kwenye exhibition, ila kuongea na uongozi wa China kuhusu kupata kibali ADAS (Advanced Driving Assist System ) cha Full Self Driving (FSD) supervised.

Utajiuliza kwann anajitesa hivi? Kwamba hii ni huduma (subscription) kama Netflix, au DSTV yako au LUKU nyumbani kwako, ambapo wamiliki wa magari ya Tesla yenye uwezo wa FSD wanailipia kwa mwezi au mwaka. Kwahiyo kifurushi kikiisha na haujalipia, inakua kama kua na dishi la DSTV ila haujalipia, utaona tu channel za bure. Na kwenye Tesla utakua unapata drive assistance ila zile za bure ndogo ndogo.

FSD inahitaji vibali vya nchi au Jimbo. Ata huko marekani baadhi ya Majimbo inapingwa bado. Kwasababu wameoana FSD imehusika katika ajali mbaya.

Je China watakubali? Ukichukulia wao USA wanasema products za China kama Huawei, TikTok, 5G routers zina iba data kutoka US na kupeleka China.

Tetesi zinasema mazungumzo yameensa vizuri. Elon ameshirikiana na Baidu na kukubaliana kwamba, Baidu ndio watakaoshirikia data zote za mapping na database haitakuwepo US itakua pale pale China kiusalama zaidi.

Ikipita, China itakua nchi ya pili kuruhusu FSD, ingawa sio leo au kesho ila tunaenda kwenye full self driving cars. Yaani unamuweka mtoto kwenye gari, afu unaroute gari liende shuleni dogo anashuka, chuma inarudi home kukuchukua mwende kazini.

3. Vita vya bei za EV kati ya China na nchi nyingine.
Hii imekaa kisiasa ipo nje ya maudhui ya jukwaa, ila hii vita sio nzuri. Mfano kuna gari BYD Atto 3 moja ya SUV kali sana ukiwa China unainunua kwa $20,000 ila ukienda Germany gari iyo iyo unanunua kwa $42,000.

Sijui kama itakua na madhala kwetu, ila kwakua tunaimport saba magari kutoka Japan naamini JP na China mambo mazuri.

Na mwisho, nadhani kuna haja ya mtu kuona fursa na kutengeneza website kama Beforward inayoangalia soko la used cars kutoka China.
 
Mzee semi Tesla zili achiwa chache mno, pepsi mwenyewe Ali agiza 100 toka 2017, aka pewa 36.

Shida hakuna battery za kutosha Mzee, na kasema mpaka 2025 labda.
Hata uzalishaji wa battery ,China Yuko miles mbele ya USA na Germany .
Na wana resources kubwa ya rare earth metals zinazotumika kwenye uzalishaji wa battery .
Kazi wanayo
 
MG EXE181 hypercar ina brake za Parachute
Okay, hii chombo imezinduliwa na MG Auto, ni single seat EV hypercar ikiwa na ground clearance ndogo na teardrop shape inayoipa drag coefficient ya 0.181.
View attachment 2976861

Hii gari ina jumla ya 1000+ hp (eactly figure hawakusema), na top speed ya 415 km/h, na inaweza accerelate 0-100 km/h kwa sekunde 1.9 tu. Accerelation sio kubwa kutisha kwasababu tushaona Lucid Air imeenda 1.7 sec na Elon Musk ametuahidi Roadster yake itatumia chini ya sekunde 1 kufika iyo speed (Sema huyu jamaa usimuamini kila anachoongea)!

View attachment 2976865

EXE181 ina electric motors 4 na ndani haina fancy interior ila muundo na steering kama ya F1, ukiwa umekaa kibabe kama Lewis Hamilton.
View attachment 2976868View attachment 2976871View attachment 2976872View attachment 2976873
Sijui ukileta utaendesha wapi, ila tungependa ukilete.
Sasa hii ndinga Bongo unaendesha tz sehemu Gani, Maana Hata maeneo Prime, roads Zina mashimo.

Labda tununue TU yatch ndogo ndogo tuwe tunakimbizana uko Bahari
 
Sijui ni wizara ya mambo ya nje au ya viwanda, wangefanya mchakato mapema.

Angalau BYD Tanzania ikawepo, tukawa wa kwanza kwa East Africa.

Mwaka jana BYD washaingia South Africa na wana magari wanayatengeneza locally. Inaleta faida kwa ajira na tunapata 0 kilometa cheap.

BYD Kenya ipo ila showroom tu na Nigeria.
Wale mazezeta wa wizarani akina Kitila Mkumbo wa anawaza kuwaleteeni takataka za kihindi Mahindra
Takataka ambazo hata India penyewe watu hawazikubali
 
Back
Top Bottom