Kwa Waamuzi hawa 'Waliobalansiwa' Kimkakati kutokana na Mapenzi yao kwa Simba na Yanga kama bado hujajua Matokeo Shauri yako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,736
109,328
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii.

Katika mchezo huo, Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga wa Dar es Salaam, watakuwa waamuzi wasaidizi, wakati Tatu Malogo kutoka Tanga ndiye atakuwa mwamuzi wa akiba..

Katika mara tatu ambazo Arajiga amechezesha mechi baina ya Simba na Yanga, matokeo yanaonesha kwamba, Yanga imeshinda mara mbili na moja ushindi umeenda upande wa Simba, hakuna sare..

Jul 25, 2021: Yanga 0-1 Simba (Fainali ASFC)Mei 28, 2022: Yanga 1-0 Simba (Nusu fainali ASFC)Nov 5, 2023: Simba 1-5 Yanga (Ligi Kuu)

Chanzo: SportsArenaTz

Ninachofahamu tu ni kwamba Arajiga ni mwana Simba SC lia lia na hawa Washika Vibendera Wote hasa Mzee wa Pombe za Bure Mkono na Mwenzake Mpanga Wote hawa si tu kuwa ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC vile vile huku Dada yangu Tatu Malogo ambaye nae ni mwana Simba SC lia lia Tatu Malogo akiwa Mwamuzi wa Akiba.

Arajiga wana Simba SC hatutaki Utubebe Kesho ila nawe Usituumize kwa Kuogopa kuwa kwakuwa unajulikana ni mwana Simba SC basi utataka Kuwapa Yanga SC Upendeleo ili hata Siku zingine ukienda katika Maduka ya GSM kufanya Shopping na Mkeo Mrembo sana upewe Discount au upewe bure kabisa.

Nakuomba Kesho chezesha Mchezo huu kwa Haki kabisa, acha Kuogopa au Kutishwa Mungu atakusaidia sawa?

Cc: Mwana Yanga SC ninayemkubali hasa hapa JF kwakuwa anajua Mpira na hasa Soka la Tanzania Dr Matola PhD

ANGALIZO

Kama unajua HUMPENDI GENTAMYCINE na Mada ( Threads ) zake hapa JamiiForums HUZIPENDI tafadhali nakushauri KIUSTAARABU tu acha KUZIFUNGUA, KUZISOMA na hata KUZICHANGIA badala yake nenda Kawasome tu wale MEMBERS wako UNAOWAKUBALI zaidi hapa na Mimi niachie wale MEMBERS wangu WANAONIELEWA KUTWA na hawana USWAHILI, UPUUZI, USHAMBA na UPUMBAVU wa KUTUKUKA kama ulionao.

Ukikaidi hili ANGALIZO langu usije KUNILAUMU kwa MAJIBU YANGU UMIZA ambayo NITAKUPOROMOSHEA pale tu UTAKAPOSHOBOKA nami kwa KUWASHWAWASHWA Kwako nami kama MNYAMA JIKE anayetaka KUPANDWA ( KUINGILIWA ) na MNYAMA DUME a.k.a GENTAMYCINE.

Nimemaliza.
 
Hivi Uzio hapo Hospital Mirembe umesombwa na maji?
Au wagonjwa wa hospital hiyo wamepewa simu?
Nyuzi kutoka Mirembe zimetamalaki
Mama yako Mzazi mwenye Kadi yake kabisa huko na Wodi yake Maalum anaweza kuwa na Majibu mazuri ya Kutujibu.
 
Nasubiri tu sasa uniite 'Genta Mkunaji' wako mzuri pale 'Ukinibenjulia' Uani Kwako sawa?
Sasa itategemea na aina ya mada unazo leta, ukileta za ukunaji nitakuita hvy, ukileta za kukunwa pia nitakuita Genta Mkunwaji
 
Sometimes unaandika vizuri ila mwishoni unaharibu kaka kwa mitusi huko kwenye Angalizo.

Wote tunajua huna msalia mtume kwenye kumporomoshea mtu mbovu mbovu.

USINITUSI LAKINI.
 
Sometimes unaandika vizuri ila mwishoni unaharibu kaka kwa mitusi huko kwenye Angalizo.

Wote tunajua huna msalia mtume kwenye kumporomoshea mtu mbovu mbovu.

USINITUSI LAKINI.
Tatizo lenu Wapumbavu wengi na Wanafiki Tukuka mlioko hapa ( nawe ukiwemo ) huwa mnakuwa wepesi sana Kukimbilia kuona Majibu yangu kwa Wanaonichokoza kila Siku hapa JamiiForums na bahati nzuri hata Modeators wa JamiiForums nimeashawaambia hili sana na Kuwatajia hizo ID's ila hakuna Wanachofanywa.

Nakupa assignment leo hebu nitafutie Uzi wowote ambao Mimi GENTAMYCINE ndiyo huwa naanza Kuwatukana au hata Kuwachokoza hao Wapumbavu na Wanafiki ( ambao nahisi nawe pia ni Miongoni mwao ) kisha ukikutana nao uweke hapa Jamvini ili Ukweli ujulikane.

Kila Siku huwa nawaulizeni Wapumbavu na Wanafiki hivi huwa mnakuwa wapi pale ID's zile zile ( na zingine ni za Mtu Mmoja ) sema anazibadilisha tu kwa Kushirikiana na Wenzake zikiwa zinanitukana Mimi MBWA, SHOGA na hata kjusema NALALWA? au mpaka Siku niweke tena hapa Screenshots zao ( japo Moderators wamenizuia ) ndipo muamini?

Na ni kwanini huwa GENTAMYCINE nikitukanwa tu hapa JamiiForums au Nikichokozwa kwa Makusudi huku Nikidhalilishwa huwa siiwaoni Wapumbavu na Wanafiki nyie mkijitokeza Kuwakemwa na Kuwalumu kama vile ambavyo huwa mnawashwawashwa Kwagngu pale tu nikianza Kujibu Kwao Mapigo yangu takatifu na umiza?

Nimeshasema na hadi kutoa ANGALIZO kuwa kama unajua au anajijua kabisa kuwa HUMPENDI / HUNIPENDI Mimi GENTAMYCINE hapa JamiiForums na hadi Mada zangu basi usiwe unapoteza muda wako Kuzifungua na Kuzisoma lakini unakuta Mtu huyo huyo kila Uchao anahubiri Kunichukia ila ndiyo Kutwa anangoza Kushoboka na Kujipendekeza Kusoma Mada zangu. Hivi huu kama siyo Utaahira ni nini?

Namalizia kwa kukwambia na hakiksha Ujumbe huu unawafikia hao Wapumbavu na Wanafiki wenzako kuwa Mimi nina Sera zile zile za Kiyahudi ( Kiisraeli ) ambapo Kisasi ndiyo Utanaduni wangu Tukuka na Ukinianza tu jua Sitokubaksha na Nitakuruararua hai Kuichukia mazima hii ID yangu hapa JamiiForums. Niheshimu ili nami Nikuheshimu ila ukileta Uhuni Mimi ndiyo Muhuni na Msela vile vile halafu na Shule nayo ninayo vile vile Kudadadeki.

Sasa hapo kosa langu nini mwana kwetu.
 
Back
Top Bottom