Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,498
220,144
Screenshot_2024-04-18-14-17-51-1.png

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.

Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.

Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.

Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro.
---
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka hadharani ratiba ya kufanyika kwa maandamano nchi nzima huku mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu wakigawana mikoa kuyaongoza.

Maandamano hayo ni matokeo ya mkutano wao uliofanyika Machi mwaka huu mkoani Mtwara ambako chama hicho kilikuja na Azimio la Mtwara lililolenga kufanya maandamano kwenye mikoa yote kuanzia Aprili 22 hadi Aprili 30.

Agenda za kufanyika kwa maandaano hayo ni katika kufikisha kilio cha uwepo maisha magumu kwa wananchi, kuendelea kusisitiza madai ya Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ambayo imeshaanza kutumika.

Pia, maandamano hayo, yanalenga kupaza sauti ya namna gani nchi inaweza kukabiliana na majanga ikiwamo mafuriko ambayo yameikumba mikoa mbalimbali kwa sasa kutokana na vua zinzoendeea kunyesha nchi nzima.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili 18,2024, kuhusu maandalizi ya maandamano hayo yalipofikia hadi sasa, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema baada ya tangazo hilo la Azimio la Mtwara, maandalizi yanaendelea kufanyika na kama chama baada ya kufanya tathimini ya mambo mbalimbali ikiwamo ya hali ya hewa na kuamua kuyagawa kwa awamu mbili.

==================

Opposition party CHADEMA has publicly announced the schedule for nationwide demonstrations, with the party's chairman, Freeman Mbowe, and the Vice Chairman for Mainland, Tundu Lissu, dividing the regions to lead them.

These demonstrations are the result of their meeting held in March this year in Mtwara region, where the party came up with the Mtwara Resolution, which aimed to organize demonstrations in all regions from April 22nd to April 30th.

The objectives of these demonstrations are to address the hardships faced by the citizens, continue to emphasize the demand for a new constitution, and advocate for an Independent Electoral Commission, which is already in operation.

Additionally, these demonstrations aim to raise awareness on how the country can cope with disasters, including the current floods affecting various regions due to ongoing heavy rainfall throughout the country.
 
Maandamano yaliyofanyika yalileta nini?
Upinzani mnawafanya wananchi wajinga
Maandamano hayana impact yoyote hamgusi kunakohusika
Yote serikali inafanya mnaangaalia hamuitishi vyombo vya habari..

Mpo kimyaaaaaa
Mnakuja kutuambia maandamano
Mstutanie!
 
Unayo macho ?
 
View attachment 2967314

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima , ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo , Ratiba yake imetolewa Rasmi .

Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .

Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano , ambayo ni Arusha , Manyara , Singida , Dodoma na Morogoro .

Usiondoke jf , hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja
Upumbafu tu!
Huku ndiko kufisirika kisiasa.
Maadamano sera nzuri ya Cdm
Upuuzi mkubwa
 
Maandamano yaliyofanyika yalileta nini?
Upinzani mnawafanya wananchi wajinga
Maandamano hayana impact yoyote hamgusi kunakohusika
Yote serikali inafanya mnaangaalia hamuitishi vyombo vya habari..

Mpo kimyaaaaaa
Mnakuja kutuambia maandamano
Mstutanie!
Sisiemu walikutawala miaka 60 wamekupa nini? Nani kakulazkmisha uandamane ? Tuliza fuvu hilo
 
Maandamano yaliyofanyika yalileta nini?
Upinzani mnawafanya wananchi wajinga
Maandamano hayana impact yoyote hamgusi kunakohusika
Yote serikali inafanya mnaangaalia hamuitishi vyombo vya habari..

Mpo kimyaaaaaa
Mnakuja kutuambia maandamano
Mstutanie!
wenyewe wanajua faida zake we ulitegemea yalete nini
 
View attachment 2967314

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.

Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.

Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.

Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro
Doctor janabi anasisitiza umuhimu wa mazoezi naona chadema hili swala la mazoezi wamekichukulia seriously sana kila mwezi wanafanya jogging

Ukiona unafanya maandamano hakuna impact mtawala hashtuki ndo kwanza anakusupport ufanye jua hayo sio maandamano ni jogging club ..... maana ya maandamano angalia sudan .....kenya ....tunisia 2011 ... angali na 🇫🇷 france.....

Doctor janabi asante sana chadema somo la mazoezi ni afya limewaingia sana
 
View attachment 2967314

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi.

Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema.

Habari zinaeleza kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu amepangiwa kuvurumisha Maandamano hayo katika mikoa mitano ambayo ni Arusha, Manyara, Singida, Dodoma na Morogoro.

Usiondoke JF, hii ni kwa sababu kuna taarifa zaidi zinakuja.
=======
Taarifa nyingine inaonyesha kwamba Mwamba Kabisa Freeman Mbowe atavurumisha Maandamano hayo Bukoba Mjini , Shinyanga , Geita , Bariadi Mjini , Musoma Mjini , Mwanza , Tanga na Kilimanjaro
Mikoa atayokua mh lissu na mimi kwa gharama yangu nitaudhulia
 
Mambo ya uchaguzi ndiyo fahari ya mwanasiasa ...tozo wananchi wamepigwa wakachakaa hatukuwahi kusikia mwanasiasa anaitisha maandamano
 
Back
Top Bottom