antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 45,027
- 121,448
Wewe ni salesman makini..nikapiga zangu booster fln hivi tunatumia wajanja tu. Ile ngoma tunaitoa kenya, ukiitumia unaweza piga bao 12 kama ni mzee na bao 20 kama ni kijana, na magoli mengi yanakua mazito halafu ya moto moto hv. Ila ukishamaliza game utalala usingizi mzito na ukiamka hangover yake inaweza dumu hadi siku mbili (ndio state niliopo kwa sasa).
Bila shaka ushapata oda kibao za hiyo booster