Israel yatoa tahadhari kwamba Iran ikiishambulia, itakuwa mwanzo wa vita

Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao.

Ifahamike kwamba Israel imekua ikiitamani sana Iran, au taifa lolote linatumia ugaidi wa kiislamu kusumbua dunia.

Hawa HAMAS sio taifa, wamejificha ndani ya watoto hivyo hamna jinsi rahisi ya kuwafumua.

=========================


Israel told the U.S. if Iran launches an attack from its soil against Israel in retaliation for its deadly strike in Syria earlier this week, it would draw a strong response from Israel and take the current conflict to another level, Israeli officials tell Axios.
Why it matters: Iranian officials have publicly threatened to retaliate against Israel for the attack that killed a top Iranian official. The Biden administration and the Israeli government are highly concerned Iran is preparing for an imminent attack, U.S. and Israeli officials said.
  • Iranian proxies in Lebanon, Syria, Iraq and Gaza have attacked Israel but there hasn't been an attack from Iranian soil.
  • A direct Iranian strike on Israel would be unprecedented and could lead to a regional war in the Middle East.
The latest: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said at the top of an Israeli security cabinet meeting on Thursday that Iran has been operating against Israel for years "both directly and via its proxies, and therefore Israel is operating against Iran and its proxies, both defensively and offensively."
  • "We will know how to defend ourselves and will operate according to the basic principle of whoever is harming or planning to harm us — we will harm him," he said according to a statement from his office.
  • In their call on Thursday, President Biden and Netanyahu discussed public Iranian threats against Israel. "President Biden made clear that the United States strongly supports Israel in the face of those threats," the White House said.
Axios
Wewe jamaa upo kwenye kikao cha IDF wa Buza.
 
Iran akithubutu kurusha hata dongo Israel kutokea Tehran yatamkuta ya Sadam Husein. Njia pekee anayoweza kutumia ni kuyatumia makundi kama Hamas, Hought ba Hizbulah kushambulia Israel. Ni wazi kupigana na vikundi vinavyojificha kwa raia ni ngumu mno na ndio maana hadi leo Israel kashindwa kuwamaliza Hamas, ila wakizichapa face to face na Iran sioni vita ikichukue miezi mitano kuna mmoja ataomba poo.
Haya kiko wapi 😂 una la kusema ndugu chambuzi Iran kawagonga tunasubiri ifutwe
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    35.7 KB · Views: 2
Iran si kwamba hawana uwezo wa kujibu ila (kwa ushauri na uchambuzi yakinifu) wana options nyingi lakini zote ni mbaya.

Israeli na Marekani watamani sana Iran afanye mashambulizi ili wapate sababu ya kuanzisha vita kamili lakini Iran si wajinga hivyo kama aloyafanya Sadam ya kuishambulia Kuwait.
Iran kamlaza Netanyahu na viatu na mpaka sasa, hakuna myahudi mwenye wazo la kwenda kurudisha mashambulizi kwa Iran.
 
Mbona huyo Israel kashambuliwa na kaogopa kufungua hata mdomo?
 
Uwa nacheka sana huyu mzee wa uharo akileta habari za Israel mapunguani wanaomuamini wanavyokubaliana kila kitu 😅

Alisema Iran warushe hata jiwe Israel waone utawala unavyoangushwa Isael ana bomu la kufuta Iran 😀

Hawa Walokole wanachekesha sana bwana wao kachezea kichapo Iran walivyokuwa wahuni wamepitisha makombora juu ya bunge la Israel.
 
Back
Top Bottom